samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Maendeleo yanahitaji muunganiko wa watu wote kufanya kazi kwa bidii kwa lengo ya kupata matokeo chanya ambayo ni hayo maendeleo sasa..... Taifa zima linapaswa kuwa na uelekeo mmoja na watu wote lazima wafuate huo uelekeo kwa jasho damu....wakufa wafe, wakuumia waumie kufikia lengo moja...