Sidney Poitier amefariki dunia

Sidney Poitier amefariki dunia

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
SIDNEY POITIER AMEFARIKI DUNIA LEO AKIWA NA MIAKA 94
Mwanangu yuko mbali na mimi wakati anakua hapa Dar es Salaam mara nyingi nikimuhadithia movies tulizokuwa tukizipenda wakati sisi wadogo na pia wale waigizaji maarufu nyakati zetu.

Tukipita mjini nikawa namuonyesha majumba ya senema tuliyokuwa tukienda.

Haya majumba ya senema wakati yeye anapata akili yalikuwa yote yamefungwa si majumba ya senema tena.

Majumba kama Odeon, Empire, Empress, Chox na Azania baadae ikabadilishwa jina na kuwa Cameo.

Hivi ndivyo alivyokuja kumjua Sidney Poitier na kufahamu ''Nickname'' yangu.

Leo mwanangu baada ya kupata taarifa ya kifo cha Sidney Poitier akanirushia taarifa iliyokuwa na video clips za senema zake maarufu.

Mwaka wa 1969 napita nje ya ofisi ya British Airways ghafla natupa jicho namuona Sidney Poitier na Harry Belafonte wamesimama nje ya ofisi hiyo ya BA.

Sikupoteza muda niliwafuata nikawasalimia na kuwaomba autograph na wote wakanipa.

Nilikuwa sina karatasi kwa hiyo nikatoa kitambulisho changu cha East African Cargo Handlinng Services (EACHS) ambacho kilikuwa kikubwa mfano wa kiganya cha mkono.

Nyuma ya kitambulisho hicho ndipo waliponiandikia majina yao.

Chini hapo nimeweka picha ya Sidney Poitier aliyonipatia Araf Sykes baada ya kukuta picha hiyo kwenye maktaba ya picha ya baba yake.
Nimependa kuiweka kama ilivyokuja kwangu.

Picha hiyo ilipigwa nyumbani kwa Ally Sykes alipowaalika Sidney Poitier na Harry Belafonte nyumbani kwake Magomeni Mikumi kwa chakula cha jioni.

Picha ya pili ni Ahmed Rashad akimpokea Sidney Poitier Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam.

Screenshot_20220107-224227_Facebook.jpg
 
Mzee Mohamed Shkamoo Samahani kwa hisani yako naomba kufahamu alikua nani huyu bwana?
 
View attachment 2072636
Safi sana, kumbukumbu nzuri.
 
Guess whose coming to dinner

"Guess who is coming to dinner"

"The wilby conspiracy"

"Lilies of the Field"

"In The Heat ofThe Night"

"For Love of Ivy"

"They Call Me Mr Tibbs"

He inspired many actors and actresses of color to rise up and be counted in this vast terrain of acting and producing films. REST IN PEACE DUDE; your life was worth living!
 
Niliona taarifa nikakosa kumjua. Asante kwa uzi
 
"Guess who is coming to dinner"

"The wilby conspiracy"

"Lilies of the Field"

"In The Heat ofThe Night"

"For Love of Ivy"

"They Call Me Mr Tibbs"

He inspired many actors and actresses of color to rise up and be counted in this vast terrain of acting and producing films. REST IN PEACE DUDE; your life was worth living!

He will be remembered forever [emoji24][emoji24]
 
SIDNEY POITIER AMEFARIKI DUNIA LEO AKIWA NA MIAKA 94
Mwanangu yuko mbali na mimi wakati anakua hapa Dar es Salaam mara nyingi nikimuhadithia movies tulizokuwa tukizipenda wakati sisi wadogo na pia wale waigizaji maarufu nyakati zetu.

Tukipita mjini nikawa namuonyesha majumba ya senema tuliyokuwa tukienda.

Haya majumba ya senema wakati yeye anapata akili yalikuwa yote yamefungwa si majumba ya senema tena.

Majumba kama Odeon, Empire, Empress, Chox na Azania baadae ikabadilishwa jina na kuwa Cameo.

Hivi ndivyo alivyokuja kumjua Sidney Poitier na kufahamu ''Nickname'' yangu.

Leo mwanangu baada ya kupata taarifa ya kifo cha Sidney Poitier akanirushia taarifa iliyokuwa na video clips za senema zake maarufu.

Mwaka wa 1969 napita nje ya ofisi ya British Airways ghafla natupa jicho namuona Sidney Poitier na Harry Belafonte wamesimama nje ya ofisi hiyo ya BA.

Sikupoteza muda niliwafuata nikawasalimia na kuwaomba autograph na wote wakanipa.

Nilikuwa sina karatasi kwa hiyo nikatoa kitambulisho changu cha East African Cargo Handlinng Services (EACHS) ambacho kilikuwa kikubwa mfano wa kiganya cha mkono.

Nyuma ya kitambulisho hicho ndipo waliponiandikia majina yao.

Chini hapo nimeweka picha ya Sidney Poitier aliyonipatia Araf Sykes baada ya kukuta picha hiyo kwenye maktaba ya picha ya baba yake.
Nimependa kuiweka kama ilivyokuja kwangu.

Picha hiyo ilipigwa nyumbani kwa Ally Sykes alipowaalika Sidney Poitier na Harry Belafonte nyumbani kwake Magomeni Mikumi kwa chakula cha jioni.

Picha ya pili ni Ahmed Rashad akimpokea Sidney Poitier Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam.

View attachment 2072636
Mkuu, habari za leo?

Niliwahi kusoma maandishi fulani ya kitaaluma. Maandisho yale yakasema Sidney Poitier na rafiki yake Harry Belafonte walipokuja Tanzania, walisema nia yao ya kujenga studio ya kutengeneza filamu hapa nchini. Je ni kweli na nini kilitokea?
 
Nimesoma Kitabu chake ila sijabahatika kuangalia movie yake,Ameongelea mengi kuhusu ubaguzi aliofanyiwa na aliyopitia hadi kufika kupewa tunzo,Walivyo mshangaa alipopanga nyumba kwenye maeneo ya kishua na vile alivyokataa kuigiza baadhi ya scene zenye chembe chembe za ubaguzi.May His Soul Rest In Peace
 
Back
Top Bottom