Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Aarghh jamani!!, utani huu.

SIDO miaka nenda miaka rudi kazi zao ni za low quality za kugongagonga mabati kwa nyundo. Kutengeneza ndege wapi na wapi?
 
Habari zisizo na vichwa wala kichwa wajinga wanaachwa tu wanazileta ili kuendeleza news za uongo uongo
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Wangejikita kutengeza mabasi ya umeme , soko la ndege lina players wengi na wakubwa mno
 
SIDO ni shirika la kuhudumia viwanda vidogo na si waundaji na watengenezaji ndege.

Sasa kiwanda kidogo chawezaje kutengeneza ndege ya abiria 500?
 
Nadhani SIDO ingejikita kuendeleza viwanda vidogo vidogo badala ya kutengeneza mwanya wa kupiga hela za walipakodi kwa kisingizio cha kutengeneza ndege. Hilo wazo lao ni sahihi katika muda ambao sio sahihi.
Bora wangejikita kutengeneza POWER TILLER nyingi za kutosha vijana waende kulima badala ya kutaka kujionyesha eti kutengeneza AIR BUS. Nonsense.
 
Back
Top Bottom