Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.

Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ni nani alithubutu kutamka na kutoa hilo wazo?
Vitu vidogo tu ila mhimu kwa matumizi ya kila siku mpaka china watuletee!
 
Unajua Mzaha Mzaha Hivi Hivi Baadaye Pesa Zinatolewa Na Jamaa Wanazichezea Ndege Hatuioni, TRC Umeona Kadogosa Na Locomotive Ya Diesel Na Tupo Kimya Kama Hatujui Umeme Ni Mwingi
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
hahaha ngoja tuone, ila ku make airplane for long -haul and short haul tena kwa viwango vya sasa is no joke
 
Unajua Mzaha Mzaha Hivi Hivi Baadaye Pesa Zinatolewa Na Jamaa Wanazichezea Ndege Hatuioni, TRC Umeona Kadogosa Na Locomotive Ya Diesel Na Tupo Kimya Kama Hatujui Umeme Ni Mwingi
Sito shangaa, tunatatizo kubwa la kuwa na serious peoples kwneye hiyo miradi. Mizaha na politics
 
Wa kwanza iwe familia ya CHURA na ukoo wao wa kizimkazi.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Majaribio wabunge wote wawemo siti za mbele wakisindikizwa kwenda 'kuzimu' na wakuu wa mikoa na Wakuu wa wilaya!!.
 
Kama ningekuwa raisi wa hi nchi ningemuachisha kazi huyo boss wa SIDO na hiyo timu yake ya kutaka kuunda Ndege

Ni Ndege ipi Kwa Sasa watakayo itengeneza Ili Dunia ione ajabu na ituletee manufaa Kwa nchi wakati wenzetu wapo katika Madreamliner na Airbus?

Mbona Kuna vitu vingi tu wangeweza kutengeneza na vikatumiwa na wajasilia mali na kuleta manufaa Kwa Taifa letu

SIDO mmeshindwa hata kutengeneza mashine ya kuchonga vijiti vya kuchokonyolea meno na kutunga mishikaki alafu mnajifanya kutaka kutengeneza Ndege

Kwanini msitengeneze bodaboda na bajaji? Badala yake mnafikiria kutengeneza Ndege?
Hivi kutengeneza Ndege na kutengeneza bodaboda na bajaji kipi rahisi?

Nyinyi SIDO matapeli tu mnatafuta njia ya kula na kuharibu pesa za walipa Kodi mnatakiwa mtumbuliwe
 
Kwa staili hii hatutafika au tukifika tutakuwa tumechoka sana au tuseme tumeshapotea njia???
Eti una anza kwa kuomba:
1. Uungwe mkono i.e. unatushawishi na hujui kwamba ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa.
2. Uongezewe wataalam i.e. huna uwezo peke yako kwa sasa tena Hujui kinachoendelea kwa sasa (Huendi na wakati) kwamba ajira hakuna.
Kwa kifupi ni kwamba unaanza kwa kufeli. Kwa maana unaweza usiungwe mkono na usiongezewe wataalam.
Hapa kwa kweli nimecheka hadi machozi
Kwamba mtaalam anaomba AUNGWE MKONO nasi tumesema HATUMUUNGI
Halafu aongezewe Wataalam ina maana hanan hana uwezo asipoongezewa nasitumesema WATAALAM WAKO NA MAJUKUMU MENGINE
Mada imeisha , Case closed
 
Back
Top Bottom