Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Au yule jamaa ya Tunduma Mbeya anaitwa SIDO aliona amefanikiwa saizi anataka atushitue na kubwa zaidi
 
Mkuu hatuwezi kufika kwa kudharau kila kinachofanywa na Watanzania wenzetu. Waungwe mkono waongezewe wataalamu watafanikisha.
Tunawapongeza. Ila ndege itapatiwa maintenance? Au ndo utakuwa kama gari za nyumbu?
 
Siyo kwamba nadharau laa hasha ila nawaomba chonde chonde waahane na huo mpango, hata wakitengeneza toroli inatosha
 
Duh, yani SIDO waunde ndege....
Basi hiyo ndege waipande wenyewe
 
Yaani nchi hii haitoisha vituko, labda kama wanafanya utani
 
Majaribio wapande wabunge wote wakiongozwa na Supika, na ndege yetu hiyo ya kihistoria chini ya uongozi shupavu wa Mama iende hadi Japan na kurejea nchini kwa mwendo wa km 250 kwa saa!!.
 
Majaribio wapande wabunge wote wakiongozwa na Supika, na ndege yetu hiyo ya kihistoria chini ya uongozi shupavu wa Mama iende hadi Japan na kurejea nchini kwa mwendo wa km 250 kwa saa!!.
Mkuu; pia uwakumbushe siku ya majaribio wasisahau gudulia la mafuta ya ndege kwani huenda mafuta yakahitajika wakiwa angani.
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hongera sana mama anaupiga mwingi, ila nashauri siku ya uzinduzi Rais apewe kipaumbele na cabinet yake yote wai test kutoka Dodoma hadi Dar.
 
Back
Top Bottom