and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Heko SIDOKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heko SIDOKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
SIDO hii hii ya Tanzania????Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Watashindwaje? Mbona wasukuma, wafipa, waha etc waliweza tangu miaka mingi?SIDO hii hii ya Tanzania????
Wapande wenyewe mi sipandi ndege iliyotengenezwa na mtanzaniaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Mungu ibariki SIDO!Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Mi naona kama tatizo ni mabatiHata mtaji tu wa hilo shirika hauwezi gharama za kununulia mabati ya ndege
Mabati ya ndege sio haya ya kuezekea nyumba.Mi naona kama tatizo ni mabati
Watengeneze tu ikiwa haina mabati tutajishikilia tu huko angani😁
Mkuu kwani tukiweka mabati ya nyumba ndege ikitaka kupaa yataikataza?😁😁Mabati ya ndege sio haya ya kuezekea nyumba.
I😃😄😁😁😆😆😆Mkuu kwani tukiweka mabati ya nyumba ndege ikitaka kupaa yataikataza?😁😁
SIDO haina uwezo na pia hawana wahandisi wa kutengeneza ndege labda iwe ni ya maonyesho.Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
SubutuuuuuuKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Ndege ya mabuaKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Kwenye hili nakuhakikishia wanataniaMkuu hatuwezi kufika kwa kudharau kila kinachofanywa na Watanzania wenzetu. Waungwe mkono waongezewe wataalamu watafanikisha.
Itatuchukua wengine muda kuipanda hiyo!!Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.