Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Hamna mwenye picha ya mtaalamu wa Aerodynamic tumuone Kwanza anaonekanaje 🤣🤣
 
Kama hi habari ni ya kweli basi hi nchi imejaa mambumbu na maendeleo ya viwanda tutayasikia katika bomba

Kwa Nini Ndege? Mbona Kuna vimashine vingi ambavyo ilitakiwa watengeneze lakini Kwa umbumbu wao wameshindwa kutengeneza alafu wanajifanya watengeneze Ndege hi nchi kweli tumerogwa

Juzi Azam tv Kuna vijana waliwaonyesha wanatumia mianzi kutengeneza vitu mbali mbali Kwa matumizi ya majumbani na maofisini

Cha kusikitisha wale vijana wanachonga vile vitu Kwa kutumia visu na mapanga Yani ni nyenzo duni kabisa

Hao SIDO hawana hata uwezo wa kutengeneza vimashine vya kuchonga chonga vitu Ili viwasaidie vijana kama wale alafu wanajifanya wanataka kutengeneza Ndege
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
SIDO haina uwezo na pia hawana wahandisi wa kutengeneza ndege labda iwe ni ya maonyesho.
 
Back
Top Bottom