Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hiyo ya watu 2 hawajaweza, itakuwa watu 500.
Nadhani walikuwa wanatania.
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Mbao za Mafinga, Makambako, Njombe na kwingine zitapata soko zaidi. Maana huenda wakatumia bidhaa za ndani hasa mbao kuundia hiyo ndege. Na siku hiyo itanyesha mvua ya kinyesi....:VegetaPls::TriDance:
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Mhhhh mdoli? Au prototype!! Hata engine ya pikipiki hatuwezi, tutaweza ndege? Kilimo cha sukari na ngsno kimetushinda, tuntrgemea kulishwa na nchi iliyopo vitani ukraine!
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Nivyema sana, ni kitu kinawezekana kwa kufanya "reverse engineering" tu. Ni vitu ambayo vipo duniani.

Nawashauri wakati wanaendelea na hiyo project yao, wangeanza kutengeneza magari ya kutumia umeme, ambayo ni rahisi kuyaunda na rahisi kuyauza Tanzania na nchi za jirani.

Lakini huo mradi wao wasiuwache hata chembe. waendelee nao. Utawafunguwa macho na masikio wengi, kuwa inawezekana.

Binafsi naamini inawezekana kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom