Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Hao labda watengeneze kondomu tu.
Huko kwingine ni wizi wa pesa za umma na kupoteza muda bure.
 
Nashauri na kutoa nafasi ya pekee safari ya kwanza ibebe wabunge wote kuwapeleka dodoma.....
Huku wananchi kila jimbo waandae mashimo ya futi sita kama una D2 umenipata.

Mtakuja kunishukuru baadae
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Tanzania hamuwezi hata kutengeneza pikipiki tu,leo mje kuhangaika na ndege? Teknoloji ya ndege Tanzania mmetoa wapi?
Hata gari tu hamuwezi,hiyo ndege ni new innovation au under license, wapumbavu kabisa nyie acheni kudanganya watu
 
Back
Top Bottom