Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hii ni hatua nzuri sana kwamba nchi yetu inafanya maendeleo mazuri chini ya uongozi wa mama! Ili kuwatia moyo Watanzania wote, napendekeza safari ya kwanza ya ufunguzi viongozi wafuatao wapande hii ndege ili kuonyesha support;

1. Raisi
2. Spika wa Bunge
3. Waziri wa Fedha
4. Waziri wa miundo mbinu
4. Mkuu wa mkoa Dar es Salaam
5. Kamishna wa TRA
6. Mwenyekiti wa Kamati ya maadili ya Bunge

Na IGP kama ana nafasi awasindikize kuhakikisha wako salama.

Yaani hapo wananchi tutatiwa moyo na kuongeza bidii katika kufanya kazi!
 
Kwa hizo diploma za kusap kira wakati?........unatoka kwenye ualimu unaenda crealing and forwarding........una jump mpaka kwenye statics hapo ndio ujenge ndege kubavu wewe
 
Back
Top Bottom