Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Tetesi: SIDO kuunda ndege ya kubeba abiria 500

Airbus wamebwaga manyanga kwa dege lao kubwa la A380 lenye uwezo wa kubeba abiria 500+ kutokana na gharama za uendeshaji sembuse SIDO hii ya watengeneza vibatari na majiko ya mkaa. Puliiizi!

images.jpeg-2.jpg
 
Nadhani SIDO ingejikita kuendeleza viwanda vidogo vidogo badala ya kutengeneza mwanya wa kupiga hela za walipakodi kwa kisingizio cha kutengeneza ndege. Hilo wazo lao ni sahihi katika muda ambao sio sahihi.
Boeing/airbus zahamia Vigunguti. Hilo nalo neno
 
Wangeanza kwanza ya mtu mmoja....,You need to walk before you can run...., Anyway najua huu ni utani ila kutengeneza ndege sasa hivi ni kupoteza rasilimali wangeanza kwanza na matrekta au mashine za kusaga za kutosha ili kuwasaidia wanajamii.... kama vipi hata bodaboda ya mbao kama ya Komredi Kipepe
 
Siku ambayo hiyo ndege itapaa hata kwa dk10 basi v8 lizamishwe mkunduni mwangu
 
Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Hapa tunapigwa asubuhi mapemaaa! Fedha za hongo ya uchaguzi zinatafutwa kwa udi na uvumba!
 
Kama mashine ndogo tu za kutusaidia kukamua matunda huku kijijini wameshindwa kutengeneza, hiyo ndege wataiweza wapi? Labda kama ni ya kishada, hata kikienda arijojo wanaweza kutengeneza kingine kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom