Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 108
- 241
Wangejikita kutengeza mabasi ya umeme , soko la ndege lina players wengi na wakubwa mnoKatika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500.
Bora wangejikita kutengeneza POWER TILLER nyingi za kutosha vijana waende kulima badala ya kutaka kujionyesha eti kutengeneza AIR BUS. Nonsense.Nadhani SIDO ingejikita kuendeleza viwanda vidogo vidogo badala ya kutengeneza mwanya wa kupiga hela za walipakodi kwa kisingizio cha kutengeneza ndege. Hilo wazo lao ni sahihi katika muda ambao sio sahihi.
Labda gutai! Shenzi type!Katika muendelezo wa Mapinduzi ya viwanda, Shirika la viwanda vidogo vidogo (SIDO) lipo mbioni kuunda ndege ya kubeba abiria 500. SKYBUS Kazi_iendelee