ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Toka lini ukawa msemaji wa ze simba fc nyie sajilini kwani nyie mnataka nini kila mtu aishi kwakeMbona Habibu Kiyombo tayari ni wa kwetu! Tena tumetumia jeuri ya pesa kwa kuvunja mkataba wake na Singida Big Stars!
Na sasa tuko katika mazungumzo ya mwisho kabisa kumsainisha Saido Ntibazonkiza ili aongeze chachu ya mafanikio msimu ujao! Eeehh bado tu unalalamika?
Mbona Habibu Kiyombo tayari ni wa kwetu! Tena tumetumia jeuri ya pesa kwa
kuvunja mkataba wake na Singida Big Stars!
Na sasa tuko katika mazungumzo ya mwisho kabisa kumsainisha Saido Ntibazonkiza ili aongeze chachu ya mafanikio msimu ujao! Eeehh bado tu unalalamika?
Huna akili.Yaani kuvunja mkataba na vitimu vya ligi kuu ndio UANAUME?
Wanaume wamevunja mkataba wa Aziz KI huko...kumbuka Simba SC walishindwa.
Kwa Moses Phiri nako mulishindwa mkaamua kusubiri mpaka mkataba wake uishe.
Kwa adebayor ndio wala tusizungumze.
Yaani kuvunja mkataba na vitimu vya ligi kuu ndio UANAUME?
Wanaume wamevunja mkataba wa Aziz KI huko...kumbuka Simba SC walishindwa.
Kwa Moses Phiri nako mulishindwa mkaamua kusubiri mpaka mkataba wake uishe.
Kwa adebayor ndio wala tusizungumze.
Ushamba na ulimbukeni tu unawasumbua nyie mbwakoko kama alivyowaita Luc. Simba hawana haja ya kupiga tarumbeta kila wanachofanya kutangazaMuda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya..wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini.tukumbuke safari hii muda wa pre season ni mfupi mno..timu zinatakiwa kujipanga mapema...
Naona kuna kila dalili msimu ujao kuna timu itapigania kumaliza top 4..tupo hapa,wakati ndio huu.
Msije kulia lia tena...Toka lini ukawa msemaji wa ze simba fc nyie sajilini kwani nyie mnataka nini kila mtu aishi kwake
Wakati tukimuongelea Azizi Ki wengine wanamzungumzia Kiyombo!....jamani jamani haya...Sisi Simba juzi tumempa tuzo ya utawala uliotukuka na yeye katupatia Habibu kiyombo
Si kweli tunajua hamba mipango wala scouring bora na vile mzee Hans pope ametangulia mbele ya haki mtapata taabu sanaUkweli ni kwamba ukimya wa Simba kwenye usajili unawaumiza utopolo
Hivi vi pesa vidogo vidogo tuKwanza mlipe pesa za watu mmezoea mkopoView attachment 2281969
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app