ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Muda utaongea,Yanga na Azam tu ndiyo zimeonekana kama vilabu pekee zenye kujiamini katika kujipanga kuelekea msimu mpya wakati vilabu vingine vikipigwa butwaa bila hata kujua wafanye nini.
Tukumbuke safari hii muda wa pre season ni mfupi mno, timu zinatakiwa kujipanga mapema.
Naona kuna kila dalili msimu ujao kuna timu itapigania kumaliza top 4..tupo hapa, wakati ndio huu.
Tukumbuke safari hii muda wa pre season ni mfupi mno, timu zinatakiwa kujipanga mapema.
Naona kuna kila dalili msimu ujao kuna timu itapigania kumaliza top 4..tupo hapa, wakati ndio huu.