mangi mweusi
Member
- Oct 26, 2014
- 66
- 61
Nilitaka kukoment ila umeongea nilichotaka kusema big up mkuuKisela ina trend kwa TZ tu, but eneka mpaka Nigeria kwa siku hizi nne za karibuni imekaa ndani ya tatu bora bado na huko Kenya, Uganda na Rwanda kote ilishika namba moja na ndio maana eneka ina viewers wengi kuliko kisela kwa sababu inawatazamaji wengi kutoka nje ya Tanzania ila kisela inawatazamaji wengi ndani ya Tanzania kuliko nje ya TZ na ndio maana imeshika namba moja kwa kutrend TZ.
Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers wake wanaongezeka kidogo ila Eneka viewers wanakwenda kwa kasi, sa si ilitakiwa Eneka ndo itrend.
Nataka mnieleweshe wana JF mnipe somo nielewe.
Mmmh!!! Hivi mkuu unadhani ni wote wanaoifahamu hiyo nyimbo ya mond kiasi kwamba unatokwa na povu kiasi hicho ...jaribu kuwa mstaarabu banaEneka nasikia ni dada ako mliyechangia nae baba mmoja anakaa uko tandahimba
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeAnatetea ujinga wakibashite
mpya gani?Hahaha! mapya ya karne Aiseee
Kama kuna mtu bado hajakuelewa nitag nimfanyie kituKisela ina trend kwa TZ tu, but eneka mpaka Nigeria kwa siku hizi nne za karibuni imekaa ndani ya tatu bora bado na huko Kenya, Uganda na Rwanda kote ilishika namba moja na ndio maana eneka ina viewers wengi kuliko kisela kwa sababu inawatazamaji wengi kutoka nje ya Tanzania ila kisela inawatazamaji wengi ndani ya Tanzania kuliko nje ya TZ na ndio maana imeshika namba moja kwa kutrend TZ.
Alikiba ndio kakutuma uulize swali la kijinga kiasi hiki ......???Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers wake wanaongezeka kidogo ila Eneka viewers wanakwenda kwa kasi, sa si ilitakiwa Eneka ndo itrend.
Nataka mnieleweshe wana JF mnipe somo nielewe.
Mbona mm sioni ppvu apo kakaMmmh!!! Hivi mkuu unadhani ni wote wanaoifahamu hiyo nyimbo ya mond kiasi kwamba unatokwa na povu kiasi hicho ...jaribu kuwa mstaarabu bana
Sent using Jamii Forums mobile app