mangi mweusi
Member
- Oct 26, 2014
- 66
- 61
Nilitaka kukoment ila umeongea nilichotaka kusema big up mkuuKisela ina trend kwa TZ tu, but eneka mpaka Nigeria kwa siku hizi nne za karibuni imekaa ndani ya tatu bora bado na huko Kenya, Uganda na Rwanda kote ilishika namba moja na ndio maana eneka ina viewers wengi kuliko kisela kwa sababu inawatazamaji wengi kutoka nje ya Tanzania ila kisela inawatazamaji wengi ndani ya Tanzania kuliko nje ya TZ na ndio maana imeshika namba moja kwa kutrend TZ.
If you escaped from the lion's den, why go back for your hat?