Sielewi Eneka haitrend You tube ila kisela no 1 japo ina viewer kidogo

Kisela ina trend kwa TZ tu, but eneka mpaka Nigeria kwa siku hizi nne za karibuni imekaa ndani ya tatu bora bado na huko Kenya, Uganda na Rwanda kote ilishika namba moja na ndio maana eneka ina viewers wengi kuliko kisela kwa sababu inawatazamaji wengi kutoka nje ya Tanzania ila kisela inawatazamaji wengi ndani ya Tanzania kuliko nje ya TZ na ndio maana imeshika namba moja kwa kutrend TZ.
Nilitaka kukoment ila umeongea nilichotaka kusema big up mkuu

If you escaped from the lion's den, why go back for your hat?
 
IMG_6198.PNG
Mimeamini kuna watu wanaumizwa sana na mafanikio ya domo! Sasa wewe ulitaka tokea inatoka mpaka leo iwe no one on trending tu? Au haujui maana ya kutrend? Yaani ngoma ina week mbili bado unaichungulia you tube kama ina trend?
 
Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers wake wanaongezeka kidogo ila Eneka viewers wanakwenda kwa kasi, sa si ilitakiwa Eneka ndo itrend.

Nataka mnieleweshe wana JF mnipe somo nielewe.

wajuzi watujuze, me sifahamu hata kinachoendelea ila nasikia tu Eneka eneka, ni nini..?
 
Kisela ina trend kwa TZ tu, but eneka mpaka Nigeria kwa siku hizi nne za karibuni imekaa ndani ya tatu bora bado na huko Kenya, Uganda na Rwanda kote ilishika namba moja na ndio maana eneka ina viewers wengi kuliko kisela kwa sababu inawatazamaji wengi kutoka nje ya Tanzania ila kisela inawatazamaji wengi ndani ya Tanzania kuliko nje ya TZ na ndio maana imeshika namba moja kwa kutrend TZ.
Kama kuna mtu bado hajakuelewa nitag nimfanyie kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisela imewahi kutoka na ina trend no 1 You tube, Eneka ina viewers wengi ila haipo top 10 katika trend, je ni kwamba viewers wa Eneka ni wa kupika, kila nikiiingia You tube number 1 ila viewers wake wanaongezeka kidogo ila Eneka viewers wanakwenda kwa kasi, sa si ilitakiwa Eneka ndo itrend.

Nataka mnieleweshe wana JF mnipe somo nielewe.
Alikiba ndio kakutuma uulize swali la kijinga kiasi hiki ......???
 
Back
Top Bottom