Sielewi kitu najiona nimetengwa na baba mzazi

Rejea sentensi yako ya pili kutoka mwisho labda ameona kuwa wewe unajiweza kama unavyoamini una akili kuliko wote ndio maana anahangaika na hao wasiojiweza. Usimuangushe mzee kwenye hili please komaa mpaka kieleweke mkuu, usitegemee kabisa hela zake akiamua atakupa
 
wewe umeumbwa kwaajili ya kumlea mzee wako sio kukulea.


hili utakuja kulishuhudia pindi akiumwa wewe ndie utabeba huo mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…