Habar wakubwa zangu
short story [emoji116]
Mimi ni kijana umri wa miaka 22, nimaliza kidato cha 4 mwaka 2017
Katika familia yetu tupo watatu, dada kaka namimi ni wamwisho.
Kaka yangu anamiaka 34 bado anakaa nyumbani, kiukweli hana mbele wala nyuma.
Akikosa hela ya pombe anapanga watu waje nyumbani kwamba yeye amekopa sasa miezi imepita hajalipa
wazazi wakilipa, wanagawana wanaenda kula starehe, zikiisha anaiba vitu nyumbani anaenda kuuza, wazee wapo tuuh hawasemi kitu, pia mzee anampa sana mtaji kwa mwaka unaweza hesabu anapewa zaidi ya mara 6 mpaka 7 lakin miezi 3 mingi kauwa mtaji
POINT SASA
[emoji116] mzee wangu amestaafa hiv karibuni lakini mzee amenitenga mm mtoto wake wamwisho ameenda kumpa tena mtaji yule mwanae wapili wakiume, mzee hataki hata kujadili namimi mambo yakufanya [emoji34]
Kiukweli nimeumia sana, ukiangalia mimi ndio nina maendeleo na akili kubwa sana Kati ya watoto wake wote 3
Naombeni ushauri wenu, nimfanyeje kwa huyu mzazi wangu