HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
gentleman,
Mbona unakimbia mada hebu tuliza mihemko. Wananchi wanauliza BIMA za afya walizoahidiwa na ccm ziko wapi?gentleman,
hata kabla ya mpango wa bima ya afya kwa wote kukufikia wewe na wadau wengine wa JF,
ni muhimu sana wananchi wote kuzipa kipaumbele afya zao kwa kua na bima za afya za gharama za kawaida, kuliko kukimbilia kununua matoleo mapya ya iphones kwa gharama kubwa na itapendeza zaidi
Gentleman,Mbona unakimbia mada hebu tuliza mihemko. Wananchi wanauliza BIMA za afya walizoahidiwa na ccm ziko wapi?
Hiyo bima kwa wote bora isiwepo maana utakuwa ni mradi tu wa kuongezea wahuni fedha na bado huduma nyingi utaambiwa ulipie hazipo kwenye bima maana tunaona hizi bima zilizopo sasa kwa watumishi wanao katwa fedha nyingi lakini huduma nyingi badi wanaingia mifukoniHabarini,
Kwanini lakini kitu cha muhimu kama hiki hakitiliwi maanani?
Watu wanapanga kuandamana kwaajili ya masilahi ya wanasiasa badala ya maandamano kwaajili ya BIMA YA AFYA KWA WOTE kwani ndiyo shida ya Watanzania walio wengi.
Ni bora wapinzani mkawekeza kwenye matatizo ya wananchi siyo kwenue SIASA za maslahi
UTAPELIGentleman,
kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 kuna viupaumbele vingi sana ndani yake, vinavyogusa maisha ya waTanzania wote moja kwa moja, ambavyo ni wazi vyote ni muhimu sana na vitatekelezwa kwa wakati muafaka ndani ya kipindi cha miaka mitano ya utekelezaji wa ilani hiyo waliyoichagua waTanzania wenyewe oct.2025.
ni muhimu sana wadau wa JF na waTanzania wote,
kua wastahimilivu na wenye subra kwenye mambo hayo ambayo yako katika hatua mbalimbali za kutekelezwa na kutimizwa
Kabisa Tena Wa Wazi Mpaka Wananchi Wameshtuka SanaUTAPELI
Nani kakwambia wameshindwa?Marekani wameshindwa kuwa na bima ya Afya kwa wote , Tanzania unadhani itawezekana?