La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Mkuu watu wanajudge mambo kwa social media perspective,Umejuaje prove it?
Sio kila siku lakini uwepo ndio maana hata shule za boarding kunakuaga na visiting day kila baada ya muda fulani watoto waonane na wazazi wao.Sasa mlitaka watu waachane halaf kila cku anaenda kuwaona watoto?!..ulisikia wapi duniani kote inafanyika hivyo?!
Mnawekeana ratiba ya kuonana na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes..nadhani tatizo liko kwa Zari hataki kuwaachia waje kwao bila yeye hiyo ndo shida...Dai hawezi kuwa anaenda South mara kwa mara in the name of watoto,hata dates wao (wa Dai na Zari hawawezi kuwa comfy kwa situation kama hii) mama anaweza kuwa na full custody ya watoto but baba anaweza kupewa siku kadhaa za kukaa na watoto wake...Sasa mlitaka watu waachane halaf kila cku anaenda kuwaona watoto?!..ulisikia wapi duniani kote inafanyika hivyo?!
Mnawekeana ratiba ya kuonana na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila siku lakini uwepo ndio maana hata shule za boarding kunakuaga na visiting day kila baada ya muda fulani watoto waonane na wazazi wao.
Sijakataa lkn Kuna situation automatically zinapunguza ule ukaribu, ndio ukweli mwenyewe. Najua sikujui lkn kwenye ukoo wenu Kuna ndugu wamezaa nje nje ya ndoa zao, hivi ushajiuliuza ukaribu na watoto zao utakuwa ni wa kawaida? Ila hali inakusuma kuhakikisha mtoto anapata huduma muhimu na kumuona mara moja moja. Tatizo lenu msha kalili Diamond akienda South lazima apost, sababu hajapost mshacoclude hajawaona watoto wake.Pesa sio kila kitu. Uwepo wa mzazi around ndio kila kitu. Acha kutetea kila jambo linalomuhusu diamond
Kweli kabisa....Chinga mdogo wangu!hakuna watu wenye dharau kama wanawake hapa duniani haswaa wakiwa na vijisentii...usiombe ukutane na type hizoo utaacha mpk suruali...yaani acha kabisaa...muacheni diamond hamjui nini kilimpelekea kufanya hvyooo...wanawake tunajijua tabia zetu haswaa tukiwa na kijipato kidogo cha kupata shilling 300,300!!!
Kaa tu kimya dogo!!tuone hivi hivi siyee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeangalia hii picha kwa kweli nimijikuta natafakari mambo mengi sana....anyway hivi ilikuaje Chibu akakubali kuingizwa King na Manung'ayembe hadi kusababisha hawa watoto wakose malezi ya baba na Mama kwa pamoja....?
kila mwanaume anachepuka but ila kuchepuka hadi kukubali kuharibu familia yako ni upuuzi sana.View attachment 1014240
Diamond anavyopenda misifa akienda sehemu asipost ebu wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Sijakataa lkn Kuna situation automatically zinapunguza ule ukaribu, ndio ukweli mwenyewe. Najua sikujui lkn kwenye ukoo wenu Kuna ndugu wamezaa nje nje ya ndoa zao, hivi ushajiuliuza ukaribu na watoto zao utakuwa ni wa kawaida? Ila hali inakusuma kuhakikisha mtoto anapata huduma muhimu na kumuona mara moja moja. Tatizo lenu msha kalili Diamond akienda South lazima apost, sababu hajapost mshacoclude hajawaona watoto wake.
WiseNachokiona anachomfanyia leo baba yake mzazi na yeye pia atafanyiwa vivyo hivyo na watoto wake.
KARMA is olweiz zea.
Kweli kabisa....
Hamna kitu kama hicho? Yaani uwe na ukaribu sawa sawa na watoto wa kwenye ndoa hamna kitu kama hicho dada yangu, hichi ninachokiongea ni uhakika nacho 100%.Diamond anavyopenda misifa akienda sehemu asipost ebu wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu na mpenzi wake wanaachana lakini watoto hawaachani. Mie jamaa zangu wapo na watoto wao karibu. Kila mara baba yupo kuangalia watoto wake, wakubwa wachukuliwa weekend wanaenda kwa baba yao, wadogo wanatoka na kurudishwa jioni. Kuna wanaume wanapenda watoto wengine wapo kama sperm donor tu.
Kwani diamond ameoa? Mtoto wa nje ndio hawez pata ukaribu kama ule wa mtoto wa kwenye ndoa/committed relationship ila naye inabid apendwe hana hatia. Ndio maana ushauri daily wanaume mfunge zipu nje, maana kuna mawili mimba na magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi.Hamna kitu kama hicho? Yaani uwe na ukaribu sawa sawa na watoto wa kwenye ndoa hamna kitu kama hicho dada yangu, hichi ninachokiongea ni uhakika nacho 100%.
Kwa hiyo sababu unaona naongea ninachokiamini kiamini mimi ambacho ni tofauti unachokiamini ww ndio unaona na mtetea.
Kwani hao watoto wengine wa zari walilelewa na baba yao? mbona wamekuwa mbali na Ivan na baba yao alikuwa anawatimizia mahitaji yao, sasa Mondi Kuna baya gani kalifanya mmeachana kila mtu hamsini zake mnaangalia malezi ya watoto, kama ilivyo kuwa kwa Ivan.
Sasa unataka mimi niongee utakavyo ww, sasa mimi nitakuwa nani au hicho nilichokiandika ni uongo (prove it).
Nipo hapa jamii forum sipo kwa ajili ya kumfurahisha mtu even though nakubali kukosolewa na mara nyingi niviandikavyo navijujua, nimevishudia na vingine nimevi experience ktk maisha yangu.
Ivan naye aliishi maisha aliyoyapitia? Au ww ulitaka Mondi afanyeje.
KorodaniMimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.
Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Sema na wewe maana inasikitisha sana halafu mtu anaona ni hali ya kawaida.Ivan pamoja na huduma kwa watoto wake aliekuwa anakuwa nao pia vacation za kutosha kawapeleka Ibiza , marekani na outing za kutosha kifupi alikuwa anajipa muda na watoto wake
Kwa Diamond story Ni tofauti kabisa anamiezi zaidi ya 7 hajawaona watoto wake physically hate birthday alishindwa kuhudhuria akaenda kwenye bday ya worlper.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unalingine labda, au labda aje kwako akufanyie show binafsi.Umeanza magazeti mie yule yule sisomi
Mshauri ajipange upya
Tutataka ma show na sio kuona demuzi huku kapo imebuma tho anajitahidi wapiiiiii
Acha uongo hata kama humpendi Diamond, lkn usimsingizie Diamond kipindi anaitoa jibebe na kupromoti style ya kucheza wakati yupo South alikuwa anamfundisha Zari kucheza, hiyo miezi saba imefikaje duu na baada ya hapo ndio waka shoot video yake na Katika ya Navy kenzo.Ivan pamoja na huduma kwa watoto wake aliekuwa anakuwa nao pia vacation za kutosha kawapeleka Ibiza , marekani na outing za kutosha kifupi alikuwa anajipa muda na watoto wake
Kwa Diamond story Ni tofauti kabisa anamiezi zaidi ya 7 hajawaona watoto wake physically hate birthday alishindwa kuhudhuria akaenda kwenye bday ya worlper.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uko nje ya madam swala la diamond kuachana na Zari hiyo Ni issue yao hapa tunazungumzia watoto kupata malezi ya baba hasa physically , diamond hata angeachana na Zari kwa kupigana Bado isingempa sababu ya yeye kutowaona watoto wake.Mimi namuelewa diamond najua nikiwa na hasira navyokua aseeeh!na naona wanawake wanavyotukana waume zao diamond sio mjinga kumuacha Zari kama jamii inayofikiri kama aliweza kumkubali akiwa na watoto wa3!!
Mhimu tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu ktk mahusiano!!
Sent using Jamii Forums mobile app