Sielewi kwanini Diamond aliharibu familia yake

Sielewi kwanini Diamond aliharibu familia yake

Sasa mlitaka watu waachane halaf kila cku anaenda kuwaona watoto?!..ulisikia wapi duniani kote inafanyika hivyo?!

Mnawekeana ratiba ya kuonana na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila siku lakini uwepo ndio maana hata shule za boarding kunakuaga na visiting day kila baada ya muda fulani watoto waonane na wazazi wao.
 
Sasa mlitaka watu waachane halaf kila cku anaenda kuwaona watoto?!..ulisikia wapi duniani kote inafanyika hivyo?!

Mnawekeana ratiba ya kuonana na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes..nadhani tatizo liko kwa Zari hataki kuwaachia waje kwao bila yeye hiyo ndo shida...Dai hawezi kuwa anaenda South mara kwa mara in the name of watoto,hata dates wao (wa Dai na Zari hawawezi kuwa comfy kwa situation kama hii) mama anaweza kuwa na full custody ya watoto but baba anaweza kupewa siku kadhaa za kukaa na watoto wake...
 
Pesa sio kila kitu. Uwepo wa mzazi around ndio kila kitu. Acha kutetea kila jambo linalomuhusu diamond
Sijakataa lkn Kuna situation automatically zinapunguza ule ukaribu, ndio ukweli mwenyewe. Najua sikujui lkn kwenye ukoo wenu Kuna ndugu wamezaa nje nje ya ndoa zao, hivi ushajiuliuza ukaribu na watoto zao utakuwa ni wa kawaida? Ila hali inakusuma kuhakikisha mtoto anapata huduma muhimu na kumuona mara moja moja. Tatizo lenu msha kalili Diamond akienda South lazima apost, sababu hajapost mshacoclude hajawaona watoto wake.
 
Wanaume wa Jf buanaaa wao kila siku humu kujitaba jinsi walivyozaa na wanawake na mpango wa kuwaoa hawana mara ooh usijiroge ukaoa singo maza hapa wako kumlazimisha mwenzao aoe mwanamke aliyezaa nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chinga mdogo wangu!hakuna watu wenye dharau kama wanawake hapa duniani haswaa wakiwa na vijisentii...usiombe ukutane na type hizoo utaacha mpk suruali...yaani acha kabisaa...muacheni diamond hamjui nini kilimpelekea kufanya hvyooo...wanawake tunajijua tabia zetu haswaa tukiwa na kijipato kidogo cha kupata shilling 300,300!!!

Kaa tu kimya dogo!!tuone hivi hivi siyee!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa....
 
Mbona wanafanana na marehem ivan sana..au ndo kitanda hakizai haram
Nimeangalia hii picha kwa kweli nimijikuta natafakari mambo mengi sana....anyway hivi ilikuaje Chibu akakubali kuingizwa King na Manung'ayembe hadi kusababisha hawa watoto wakose malezi ya baba na Mama kwa pamoja....?
kila mwanaume anachepuka but ila kuchepuka hadi kukubali kuharibu familia yako ni upuuzi sana.View attachment 1014240

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Sijakataa lkn Kuna situation automatically zinapunguza ule ukaribu, ndio ukweli mwenyewe. Najua sikujui lkn kwenye ukoo wenu Kuna ndugu wamezaa nje nje ya ndoa zao, hivi ushajiuliuza ukaribu na watoto zao utakuwa ni wa kawaida? Ila hali inakusuma kuhakikisha mtoto anapata huduma muhimu na kumuona mara moja moja. Tatizo lenu msha kalili Diamond akienda South lazima apost, sababu hajapost mshacoclude hajawaona watoto wake.
Diamond anavyopenda misifa akienda sehemu asipost ebu wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu na mpenzi wake wanaachana lakini watoto hawaachani. Mie jamaa zangu wapo na watoto wao karibu. Kila mara baba yupo kuangalia watoto wake, wakubwa wachukuliwa weekend wanaenda kwa baba yao, wadogo wanatoka na kurudishwa jioni. Kuna wanaume wanapenda watoto wengine wapo kama sperm donor tu.
 
Mimi namuelewa diamond najua nikiwa na hasira navyokua aseeeh!na naona wanawake wanavyotukana waume zao diamond sio mjinga kumuacha Zari kama jamii inayofikiri kama aliweza kumkubali akiwa na watoto wa3!!

Mhimu tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu ktk mahusiano!!
Kweli kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond anavyopenda misifa akienda sehemu asipost ebu wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu na mpenzi wake wanaachana lakini watoto hawaachani. Mie jamaa zangu wapo na watoto wao karibu. Kila mara baba yupo kuangalia watoto wake, wakubwa wachukuliwa weekend wanaenda kwa baba yao, wadogo wanatoka na kurudishwa jioni. Kuna wanaume wanapenda watoto wengine wapo kama sperm donor tu.
Hamna kitu kama hicho? Yaani uwe na ukaribu sawa sawa na watoto wa kwenye ndoa hamna kitu kama hicho dada yangu, hichi ninachokiongea ni uhakika nacho 100%.

Ila nilichogundua tatizo lako umekalili Diamond mtu wa misifa, kila akifanyacho lazima akirushe social networks.
 
Hamna kitu kama hicho? Yaani uwe na ukaribu sawa sawa na watoto wa kwenye ndoa hamna kitu kama hicho dada yangu, hichi ninachokiongea ni uhakika nacho 100%.
Kwani diamond ameoa? Mtoto wa nje ndio hawez pata ukaribu kama ule wa mtoto wa kwenye ndoa/committed relationship ila naye inabid apendwe hana hatia. Ndio maana ushauri daily wanaume mfunge zipu nje, maana kuna mawili mimba na magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi.

Na mimi siongelei mtoto wa mchepuko au wa ndoa naongelea mtoto kama mtoto anahitaji ukaribu wa wazazi wote wawili kama wako hai na sio wagonjwa.

Kulea mtoto na mzazi mmoja ndio kuwajenga kina diamond wengine wenye visirani na baba zao. Na mfano kama diamond unakuta baba diamond anachohitaji pale ni kuonana na mwanae tu roho yake itasuuzika.
 
Kwa hiyo sababu unaona naongea ninachokiamini kiamini mimi ambacho ni tofauti unachokiamini ww ndio unaona na mtetea.

Kwani hao watoto wengine wa zari walilelewa na baba yao? mbona wamekuwa mbali na Ivan na baba yao alikuwa anawatimizia mahitaji yao, sasa Mondi Kuna baya gani kalifanya mmeachana kila mtu hamsini zake mnaangalia malezi ya watoto, kama ilivyo kuwa kwa Ivan.

Sasa unataka mimi niongee utakavyo ww, sasa mimi nitakuwa nani au hicho nilichokiandika ni uongo (prove it).

Nipo hapa jamii forum sipo kwa ajili ya kumfurahisha mtu even though nakubali kukosolewa na mara nyingi niviandikavyo navijujua, nimevishudia na vingine nimevi experience ktk maisha yangu.

Umeanza magazeti mie yule yule sisomi

Mshauri ajipange upya
Tutataka ma show na sio kuona demuzi huku kapo imebuma tho anajitahidi wapiiiiii
 
Ivan pamoja na huduma kwa watoto wake aliekuwa anakuwa nao pia vacation za kutosha kawapeleka Ibiza , marekani na outing za kutosha kifupi alikuwa anajipa muda na watoto wake
Kwa Diamond story Ni tofauti kabisa anamiezi zaidi ya 7 hajawaona watoto wake physically hate birthday alishindwa kuhudhuria akaenda kwenye bday ya worlper.
Ivan naye aliishi maisha aliyoyapitia? Au ww ulitaka Mondi afanyeje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sioni kama kaharibu familia yake, kuna watu wapo kwenye ndoa wana watoto nje wanaishia kutoa hela za malezi na kuwaangalia mara moja moja.

Mwanaume kuchepuka ndio asili yetu kuanzia enzi za kina Daudi na Selemani, ila ktk maisha yako yote usiombee uchepuke na mwanamke anaejua kupuliza au kutumia tunguli. Kuna mzee kastaafu lecturer miaka mitatu iliyopita kapukutishwa hela zote karudi kwa mke wake na kabakia na korodani zake.
Korodani
 
Ivan pamoja na huduma kwa watoto wake aliekuwa anakuwa nao pia vacation za kutosha kawapeleka Ibiza , marekani na outing za kutosha kifupi alikuwa anajipa muda na watoto wake
Kwa Diamond story Ni tofauti kabisa anamiezi zaidi ya 7 hajawaona watoto wake physically hate birthday alishindwa kuhudhuria akaenda kwenye bday ya worlper.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema na wewe maana inasikitisha sana halafu mtu anaona ni hali ya kawaida.
 
Umeanza magazeti mie yule yule sisomi

Mshauri ajipange upya
Tutataka ma show na sio kuona demuzi huku kapo imebuma tho anajitahidi wapiiiiii
We unalingine labda, au labda aje kwako akufanyie show binafsi.
 
Ivan pamoja na huduma kwa watoto wake aliekuwa anakuwa nao pia vacation za kutosha kawapeleka Ibiza , marekani na outing za kutosha kifupi alikuwa anajipa muda na watoto wake
Kwa Diamond story Ni tofauti kabisa anamiezi zaidi ya 7 hajawaona watoto wake physically hate birthday alishindwa kuhudhuria akaenda kwenye bday ya worlper.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo hata kama humpendi Diamond, lkn usimsingizie Diamond kipindi anaitoa jibebe na kupromoti style ya kucheza wakati yupo South alikuwa anamfundisha Zari kucheza, hiyo miezi saba imefikaje duu na baada ya hapo ndio waka shoot video yake na Katika ya Navy kenzo.
 
Mimi namuelewa diamond najua nikiwa na hasira navyokua aseeeh!na naona wanawake wanavyotukana waume zao diamond sio mjinga kumuacha Zari kama jamii inayofikiri kama aliweza kumkubali akiwa na watoto wa3!!

Mhimu tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu ktk mahusiano!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani uko nje ya madam swala la diamond kuachana na Zari hiyo Ni issue yao hapa tunazungumzia watoto kupata malezi ya baba hasa physically , diamond hata angeachana na Zari kwa kupigana Bado isingempa sababu ya yeye kutowaona watoto wake.
Kuna kipindi Babutale alisema diamond alisusa kwenda kuwaona watoto wake kwa miezi 5 baada ya Zari kumblock asiwe anaongea nao kwenye simu ikabidi yeye afunge Safari kwenda south kutafuta suluhu Apo tu anaweza pata picha Ni mtu wa Aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom