Sio Mimi niliosema hiyo miezi 7 Ni Zari aliandika kwenye Snapchat yake akawa anasema watoto wanacreate memories na anko yao lakini hawata kuwa na memories na baba yao kipindi Cha sikukuuu .Acha uongo hata kama humpendi Diamond, lkn usimsingizie Diamond kipindi anaitoa jibebe na kupromoti style ya kucheza wakati yupo South alikuwa anamfundisha Zari kucheza, hiyo miezi saba imefikaje duu na baada ya hapo ndio waka shoot video yake na Katika ya Navy kenzo.
Nimekuuliza una uhakika Mondi haonani na watoto wake mpaka sasa ujanijibu? Tatizo lako ww, umegeuza kuyajua maisha ya Diamond ni moja ya haki yako ya msingi na reference yako ni social network. Diamond asipopost instagram basi hawaoni watoto wake.Kwani diamond ameoa? Mtoto wa nje ndio hawez pata ukaribu kama ule wa mtoto wa kwenye ndoa/committed relationship ila naye inabid apendwe hana hatia. Ndio maana ushauri daily wanaume mfunge zipu nje, maana kuna mawili mimba na magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi.
Na mimi siongelei mtoto wa mchepuko au wa ndoa naongelea mtoto kama mtoto anahitaji ukaribu wa wazazi wote wawili kama wako hai na sio wagonjwa.
Kulea mtoto na mzazi mmoja ndio kuwajenga kina diamond wengine wenye visirani na baba zao. Na mfano kama diamond unakuta baba diamond anachohitaji pale ni kuonana na mwanae tu roho yake itasuuzika.
Hamna kitu kama hicho, hiyo clip mimi niliiona kwa macho yangu. Hiyo kuchanwa ni kawaida, siajua jinsia yako kama mwanaume au mwanamke lkn ww kama ungekuwa ktk nafasi ya Diamond (mwanaume) bado ungefanya vile vile.Sio Mimi niliosema hiyo miezi 7 Ni Zari aliandika kwenye Snapchat yake akawa anasema watoto wanacreate memories na anko yao lakini hawata kuwa na memories na baba yao kipindi Cha sikukuuu .
Uziri wa Zari huwa anamchana diamond Wala hamuogopi
Sent using Jamii Forums mobile app
Oa wake hata 100 lakini uwepo wako kwa mtoto ni kitu muhimu.Nimekuuliza una uhakika Mondi haonani na watoto wake mpaka sasa ujanijibu? Tatizo lako ww, umegeuza kuyajua maisha ya Diamond ni moja ya haki yako ya msingi na reference yako ni social network. Diamond asipopost instagram basi hawaoni watoto wake.
Alafu hilo ulilo lizungumza haliwezekani kwa mwanaume, huyo Daudi na Selemani walikuwa wanaongea na Mungu wamechemka, kuwa na mke mmoja je sisi wanaume wa sasa tutawezaje?
Cha msingi ukitia mimba wajibika kumpa mahitaji yake ya msingi na mara moja moja kamwangalie mwanao, Kuna vitu dada yangu huwezi zuia HUWEZI.
Usifananishe maisha ya mtu binafsi na show, show lazima ufanye promotion kwa ajili ya kuvutia watu wajaze ukumbi, ila maisha binafsi ya mtu haya fanyiwi promotion na ndio maana najua kafanya show ngapi.Oa wake hata 100 lakini uwepo wako kwa mtoto ni kitu muhimu.
Wewe una uhakika gani kama ameenda kuwaona wanae? Wewe mambo mangapi ya diamond unayajua mpaka kafanya show ngapi na wapi bila kupitia social networks? Usijifanye unamjua sana coz najua wewe ni fan tu kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukimshabikia mtu kwenye ukweli sema haikufanyi uwe mtu mbaya
Siku hiyo katengeneza bima ya afya tu katupostia insta. Ungejuaje kawakatia wanae bima bila kupost insta? Yeye ni msanii anafuatiliwa maisha yake tena ingekua ulaya hata akiwa vichochoroni picha zake tungezipata. Nakujua wewe shabiki wa mondi kindakindaki hata akipupu utasema cake lakini kwenye ukweli pasemwe.Usifananishe maisha ya mtu binafsi na show, show lazima ufanye promotion kwa ajili ya kuvutia watu wajaze ukumbi, ila maisha binafsi ya mtu haya fanyiwi promotion na ndio maana najua kafanya show ngapi.
Mimi mbona Mondi nishamkosoa sana, alivyovujisha video yupo kihasara na Hamisa na dem mmoja wa kihindi.Siku hiyo katengeneza bima ya afya tu katupostia insta. Ungejuaje kawakatia wanae bima bila kupost insta? Yeye ni msanii anafuatiliwa maisha yake tena ingekua ulaya hata akiwa vichochoroni picha zake tungezipata. Nakujua wewe shabiki wa mondi kindakindaki hata akipupu utasema cake lakini kwenye ukweli pasemwe.
Nilale zangu mie
Ivan naye aliishi maisha aliyoyapitia? Au ww ulitaka Mondi afanyeje.
Ivan mwanaume aliyezaa na Zari, Diamond naye ni mwanaume aliyezaa na Zari na hoja hii nimeijenga sababu wote walikuwa wanafasi zinazofanana ktk maisha ya Zari.Ivan kaingiaje hapa?
[emoji4] daahChinga mdogo wangu!hakuna watu wenye dharau kama wanawake hapa duniani haswaa wakiwa na vijisentii...usiombe ukutane na type hizoo utaacha mpk suruali...yaani acha kabisaa...muacheni diamond hamjui nini kilimpelekea kufanya hvyooo...wanawake tunajijua tabia zetu haswaa tukiwa na kijipato kidogo cha kupata shilling 300,300!!!
Kaa tu kimya dogo!!tuone hivi hivi siyee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa ww umejuaje ?Ukweli ni kua diamond hajawaona watoto wake kitambo. Na pia Ivan alikua karibu na watoto wake
Kwann hutaki states ?Pesa sio kila kitu. Uwepo wa mzazi around ndio kila kitu. Acha kutetea kila jambo linalomuhusu diamond
Ivan mwanaume aliyezaa na Zari, Diamond naye ni mwanaume aliyezaa na Zari na hoja hii nimeijenga sababu wote walikuwa wanafasi zinazofanana ktk maisha ya Zari.
Soma ulewe if x=z and y=z then x=yIvan ana husiana nini na watoto wa Diamond? Hapa anazungumziwa Diamond na watoto wake. Ivan kafata nini kwenye hii conversation?
Nachokiona anachomfanyia leo baba yake mzazi na yeye pia atafanyiwa vivyo hivyo na watoto wake.
KARMA is olweiz zea.
Waswahili wanasema maji hufuata mkondo hivyo hana tofauti na baba yke
What goes around comes around.Nachokiona anachomfanyia leo baba yake mzazi na yeye pia atafanyiwa vivyo hivyo na watoto wake.
KARMA is olweiz zea.