Sielewi kwanini Diamond aliharibu familia yake

Sielewi kwanini Diamond aliharibu familia yake

Acha uongo hata kama humpendi Diamond, lkn usimsingizie Diamond kipindi anaitoa jibebe na kupromoti style ya kucheza wakati yupo South alikuwa anamfundisha Zari kucheza, hiyo miezi saba imefikaje duu na baada ya hapo ndio waka shoot video yake na Katika ya Navy kenzo.
Sio Mimi niliosema hiyo miezi 7 Ni Zari aliandika kwenye Snapchat yake akawa anasema watoto wanacreate memories na anko yao lakini hawata kuwa na memories na baba yao kipindi Cha sikukuuu .
Uziri wa Zari huwa anamchana diamond Wala hamuogopi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani diamond ameoa? Mtoto wa nje ndio hawez pata ukaribu kama ule wa mtoto wa kwenye ndoa/committed relationship ila naye inabid apendwe hana hatia. Ndio maana ushauri daily wanaume mfunge zipu nje, maana kuna mawili mimba na magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi.

Na mimi siongelei mtoto wa mchepuko au wa ndoa naongelea mtoto kama mtoto anahitaji ukaribu wa wazazi wote wawili kama wako hai na sio wagonjwa.

Kulea mtoto na mzazi mmoja ndio kuwajenga kina diamond wengine wenye visirani na baba zao. Na mfano kama diamond unakuta baba diamond anachohitaji pale ni kuonana na mwanae tu roho yake itasuuzika.
Nimekuuliza una uhakika Mondi haonani na watoto wake mpaka sasa ujanijibu? Tatizo lako ww, umegeuza kuyajua maisha ya Diamond ni moja ya haki yako ya msingi na reference yako ni social network. Diamond asipopost instagram basi hawaoni watoto wake.

Alafu hilo ulilo lizungumza haliwezekani kwa mwanaume, huyo Daudi na Selemani walikuwa wanaongea na Mungu wamechemka, kuwa na mke mmoja je sisi wanaume wa sasa tutawezaje?

Cha msingi ukitia mimba wajibika kumpa mahitaji yake ya msingi na mara moja moja kamwangalie mwanao, Kuna vitu dada yangu huwezi zuia HUWEZI.
 
Sio Mimi niliosema hiyo miezi 7 Ni Zari aliandika kwenye Snapchat yake akawa anasema watoto wanacreate memories na anko yao lakini hawata kuwa na memories na baba yao kipindi Cha sikukuuu .
Uziri wa Zari huwa anamchana diamond Wala hamuogopi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kama hicho, hiyo clip mimi niliiona kwa macho yangu. Hiyo kuchanwa ni kawaida, siajua jinsia yako kama mwanaume au mwanamke lkn ww kama ungekuwa ktk nafasi ya Diamond (mwanaume) bado ungefanya vile vile.

Kwa hiyo unaconclude ukitaka kujua maisha ya Diamond na watoto wake fuatilia social networks, asipopost basi hajaenda kuwaangalia watoto?

Alafu tatizo lako umegeuza kuyajua maisha ya Diamond ni moja ya haki yako ya msingi na ndio maana una hukumu kupitia hizi social networks.
 
Hivi maskini anapata wapi jeuri ya kumpangia tajiri namna ya kuishi??

Diamond kawapita kila kitu mkianza na pesa, fame network etc lakin nyie ndoi mnajifanya mnayajua maisha yake vizuri na mpo serious kabisa mnashauri jinsi anavyopaswa kuishi.

Nyie maskini mnatia sana aibu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekuuliza una uhakika Mondi haonani na watoto wake mpaka sasa ujanijibu? Tatizo lako ww, umegeuza kuyajua maisha ya Diamond ni moja ya haki yako ya msingi na reference yako ni social network. Diamond asipopost instagram basi hawaoni watoto wake.

Alafu hilo ulilo lizungumza haliwezekani kwa mwanaume, huyo Daudi na Selemani walikuwa wanaongea na Mungu wamechemka, kuwa na mke mmoja je sisi wanaume wa sasa tutawezaje?

Cha msingi ukitia mimba wajibika kumpa mahitaji yake ya msingi na mara moja moja kamwangalie mwanao, Kuna vitu dada yangu huwezi zuia HUWEZI.
Oa wake hata 100 lakini uwepo wako kwa mtoto ni kitu muhimu.
Wewe una uhakika gani kama ameenda kuwaona wanae? Wewe mambo mangapi ya diamond unayajua mpaka kafanya show ngapi na wapi bila kupitia social networks? Usijifanye unamjua sana coz najua wewe ni fan tu kama mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ukimshabikia mtu kwenye ukweli sema haikufanyi uwe mtu mbaya
 
Usifananishe maisha ya mtu binafsi na show, show lazima ufanye promotion kwa ajili ya kuvutia watu wajaze ukumbi, ila maisha binafsi ya mtu haya fanyiwi promotion na ndio maana najua kafanya show ngapi.
 
Siku hiyo katengeneza bima ya afya tu katupostia insta. Ungejuaje kawakatia wanae bima bila kupost insta? Yeye ni msanii anafuatiliwa maisha yake tena ingekua ulaya hata akiwa vichochoroni picha zake tungezipata. Nakujua wewe shabiki wa mondi kindakindaki hata akipupu utasema cake lakini kwenye ukweli pasemwe.

Nilale zangu mie
 
Mimi mbona Mondi nishamkosoa sana, alivyovujisha video yupo kihasara na Hamisa na dem mmoja wa kihindi.

Mimi ukisoma maelezo yangu tokea mwanzo yameegemea nature ya mwanaume na Diamond ni mwanaume na ndio maana nakuambia ni ngumu mwanaume kukaa na mwanamke mmoja ni NGUMU.

Alafu mbona mastaa kibao wanawatoto wa nje kibao au kwa kuwa wapo kimya nyie ndio mnaona wanatimiza majukumu yao. Acha kukalili unaweza ukakuta Mondi ana afadhali kuliko hao wengine.

Ila kwa kuwa ww umeshageuza kuyajua maisha ya Diamond ni MOJA YA HAKI YAKO YA MSINGI basi umecoclude kupitia social network.
 
Chinga mdogo wangu!hakuna watu wenye dharau kama wanawake hapa duniani haswaa wakiwa na vijisentii...usiombe ukutane na type hizoo utaacha mpk suruali...yaani acha kabisaa...muacheni diamond hamjui nini kilimpelekea kufanya hvyooo...wanawake tunajijua tabia zetu haswaa tukiwa na kijipato kidogo cha kupata shilling 300,300!!!

Kaa tu kimya dogo!!tuone hivi hivi siyee!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] daah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona hata kwenda salimia siku hizi hamna,isije kua kashaambiwa we huna chako hapa tambaa
 
Ivan mwanaume aliyezaa na Zari, Diamond naye ni mwanaume aliyezaa na Zari na hoja hii nimeijenga sababu wote walikuwa wanafasi zinazofanana ktk maisha ya Zari.

Ivan ana husiana nini na watoto wa Diamond? Hapa anazungumziwa Diamond na watoto wake. Ivan kafata nini kwenye hii conversation?
 
Ivan ana husiana nini na watoto wa Diamond? Hapa anazungumziwa Diamond na watoto wake. Ivan kafata nini kwenye hii conversation?
Soma ulewe if x=z and y=z then x=y
Where
x=Diamond
y=Ivan
z=Zari
Ndio maana nimekwambia hoja yangu nimeijenga sababu wote walikuwa na nafasi sawa ktk maisha ya Zari kwa mda na wakati tofauti. Kama una knowledge ya sheria au hesabu utakuwa umenielewa, ila kama hujaelewa tatizo litakuwa upande wako.
 
Back
Top Bottom