LGE2024 Sielewi lengo la CHADEMA kushiriki uchaguzi huu

LGE2024 Sielewi lengo la CHADEMA kushiriki uchaguzi huu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Inajulikana wazi kuwa CCM hawawawezi CHADEMA katika sanduku la kura, hivyo imeweka nguvu kubwa kwenye figisu na dhulma.

CCM tayari wameonesha taa nyekundu ktk hatua za mwanzo kwa kuwaengua wagombea wa chadema 16,0000, na baada ya rufaa wagombea 5,000 tu ndiyo wamerejeshwa. Pia viongozi wa chadema wanasumbuliwa nchi nzima wakati kampeni zinaendelea.

Taa hii nyekundu na haya madhila mengine hayatoshi kuionesha chadema kuwa inakokwenda kumejaa ujinga?

Hoja yao kuu ni kwamba ukimsusia fisi mzoga ataumaliza na itakuwa ndiyo furaha kwake.. Sasa je, ikiwa hata ukiusogelea mzoga fisi anakufukuza, utaufaidi vipi huo mzoga?

Ni kitu gani kinawapa nguvu chadema mpk kuamua kushiriki uchaguzi ambao Mchengerwa amejipanga kuokota pointinzote 3 kutoka kwa mkwewe?

PIA SOMA
- LGE2024 - Kubenea: Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi. Vyama kuendelea kushiriki ni kuhalalisha uhuni, madhara yake yataonekana 2025
 
Ni kitu gani kinawapa nguvu chadema mpk kuamua kushiriki uchaguzi ambao Mchengerwa amejipanga kuokota pointinzote 3 kutoka kwa mkwewe?
You are very correct! Perfectly correct!

Pendekeza, if you were in Mbowe's position, what would you have done to get out of this stalemate?
 
Yametimia. Mawakala wa chadema wamenyimwa viapo nchi nzima.

Bi. Ushungi habipu anapiga.
 
Back
Top Bottom