Sielewi na wala sijui wanachogombania Wakristo na Waislamu

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
Nadhani ni ukosefu wa uelewa

Sielewi wanachogombania Wakristo na Waislamu ni kitu gani

Kila siku kelele za Waislamu wamefanya hivi mara Wakristo wamefanya vile

Tofauti ya hizi Dini ni Lugha na Utamaduni

Zote zipo ndani ya dunia moja sijaona dunia mbili

Mwenye hii dunia ni mmoja

Dini hizi ni sawa na watoto Mapacha lakini baba yao ni mmoja

Hiyo tofauti wanayoitafuta sijui ni ipi

Labda kuna mtoto mmoja amezaliwa na Nyati na mwingine Kifaru kidogo wanaweza kuwa na tofauti lakini watoto wote wa Kifaru sioni tofauti

Mwl Nyerere alisema ni ujinga

Naungana na Mwl Nyerere baba wa Taifa kuwa udini ni ujinga na upumbavu

Ongezea...
 
Samuya anawatumia BAKWATA kudhalilisha wakristo
Dah mambo gani haya sasa mwisho watauwana hawa kila siku kelele haziishi watu washachoka vioja visivyoisha
 
Hakika turufu ya dini siyo nzuri
We fikiria wale waislam waliojifanya wakatoliki na kwenda pale ubalozi wa Vatican na kufanya mambo ya dharau.
Itakuwaje na vijana wa kikristo wakijifanya waislam na kwenda Makao makuu BAKWATA kupinga msimamo wa BAKWATA
 
Ndo moto utawaka sasa mana moshi ushaanza tunakoenda moto utawaka na hautafaa kuzima
 
Nyie machawa ndo mnatetea huu uhuni
Niwashe moto na mimi si nipo ndani ya chumba hichi hichi ukiwaka hapa hachomoki mtu, moto wa udini hauna uchawa ni show kali ile
 
Moderators nisaidie kusahihisha kichwa cha uzi "ma" nilimaanisha "na"

Nadhani ni ukosefu wa uelewa

Sielewi wanachogombania Wakristo na Waislamu ni kitu gani

Kila siku kelele za Waislamu wamefanya hivi mara Wakristo wamefanya vile

Tofauti ya hizi Dini ni Lugha na Utamaduni

Zote zipo ndani ya dunia moja sijaona dunia mbili

Mwenye hii dunia ni mmoja

Dini hizi ni sawa na watoto Mapacha lakini baba yao ni mmoja

Hiyo tofauti wanayoitafuta sijui ni ipi

Labda kuna mtoto mmoja amezaliwa na Nyati na mwingine Kifaru kidogo wanaweza kuwa na tofauti lakini watoto wote wa Kifaru sioni tofauti

Mwl Nyerere alisema ni ujinga

Naungana na Mwl Nyerere baba wa Taifa kuwa udini ni ujinga na upumbavu

Ongeza na tusi jingine hapo
Tatizo ni serekali ya CCM period
 
Niwashe moto na mimi si nipo ndani ya chumba hichi hichi ukiwaka hapa hachomoki mtu, moto wa udini hauna uchawa ni show kali ile
Wambie basi hao mabosi wenu wanaowalipa kushinda mtandaoni mnatetea mauaji
Wawajibu TEC Kwa hoja sio kuleta unajisi na udhalilishaji kwetu wakatoliki
 
Hakika turufu ya dini siyo nzuri
We fikiria wale waislam waliojifanya wakatoliki na kwenda pale ubalozi wa Vatican na kufanya mambo ya dharau.
Itakuwaje na vijana wa kikristo wakijifanya waislam na kwenda Makao makuu BAKWATA kupinga msimamo wa BAKWATA
Sidhani kama Wakatoliki halisi wangevumiliwa waandamana kwenda Ofisini za UN au Ubalozi wa Vatican kulalamika kuhusu kudhuriwa kwa viongozi wao kidini kama Padri Kitima na baadhi ya mapadri kupotea na kupatikana katika mazingira tata, huu mzaha wa Wakatoliki feki hauna afya kabisa kwa nchi.
 
Huu uhuni wao una madhara zaidi kwao kuliko Kwa kanisa katoliki
 
Back
Top Bottom