KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Hakuna vita kati ya waislam na wakristo bali ni BAKWATA NA TEC..
na si kila muislam ni bakwata na si kila mkristo ni TEC
na si kila muislam ni bakwata na si kila mkristo ni TEC
Ukituliza akili wee pimbi utajua tofaouti ya kugombana na kugombanishwaWala sijui sababu ni nini kila siku hivi mara vile kwa wenye welewa inakera sana
Dah inauma sana yani kila siku kelele hizi za dini watu wataanza kuchukiana sasaKwa ujumla Wakristo na Waislam wa Tanzania, hawana ugomvi kabisa. Tofauti yao kubwa ni kuwa mwingine anaingia Kanisani, mwingine anaingia msikitini, zaidi ya hapo, hakuna tofauti yoyote. Kulikuwa na ujenzi wa kanisa jipya, nilishuhudia waislam wamekuja kuchangia, kwa sababu ya mahusiano mazuri pamoja na kusaidiana miongoni mwa wahusika.
Kinachotokea sasa ni kila alichokisema Mwalimu Nyerere kuwa mtu aliyefilisika kisiasa hujificha kwenye kivuli cha dini au kabila, yaani badala ya ya mtu kutafuta hoja zinazoweza kumfanya aungwe mkono, anataka aungwe mkono kwa sababu ni watu wa dini au kabila lake. Anataka watu wasiuone udhaifu wake bali waione dini au kabila lake, kisha waseme tumwunge mkono kwa sababu ni wa dini yetu au kabila letu.
Udhaifu wa Samia na Serikali yake ndiyo umetufikisha hapa. Anataka afunike uovu ule mkubwa wa mauaji alioufanya kwa hadaa ya udini, lakini kwa vyovyote hawezi kufanikiwa. Atawaokota hao mashekhe wanafiki wa BAKWATA na mawakala wao, lakini siyo waislam na wakristo wa kweli. Huko mtaani wakristo na waislam hawana matatizo kabisa.
Hii hatare kuna mtanange sasa hivi mitandaoni Waislamu vs Wakristo sasa sijui itakuwajeHivi mnapomtetea huyo rais wenu ambaye hakuchaguliwa na wananchi hamkuelewa kwanini tunampinga.
Elimu yake ndogo inafikiri atatawala Tanzania kwa kuwagawa kwa misingi ya dini.
Serekali ya CCM inanufaika na hali hii kwa sasa, kwani ni zao lake.Itafutwe namna kupalia makaa haya kesho moto utaunguza sufuria