Hakika turufu ya dini siyo nzuriDah mambo gani haya sasa mwisho watauwana hawa kila siku kelele haziishi watu washachoka vioja visivyoisha
Ndio ujue kuanzia leo sasa kwamba samuya HANA akili!.Wala sijui sababu ni nini kila siku hivi mara vile kwa wenye welewa inakera sana
Ndo moto utawaka sasa mana moshi ushaanza tunakoenda moto utawaka na hautafaa kuzimaHakika turufu ya dini siyo nzuri
We fikiria wale waislam waliojifanya wakatoliki na kwenda pale ubalozi wa Vatican na kufanya mambo ya dharau.
Itakuwaje na vijana wa kikristo wakijifanya waislam na kwenda Makao makuu BAKWATA kupinga msimamo wa BAKWATA
Nyie machawa ndo mnatetea huu uhuniNdo moto utawaka sasa mana moshi ushaanza tunakoenda moto utawaka na hautafaa kuzima
Tatizo ni serekali ya CCM periodModerators nisaidie kusahihisha kichwa cha uzi "ma" nilimaanisha "na"
Nadhani ni ukosefu wa uelewa
Sielewi wanachogombania Wakristo na Waislamu ni kitu gani
Kila siku kelele za Waislamu wamefanya hivi mara Wakristo wamefanya vile
Tofauti ya hizi Dini ni Lugha na Utamaduni
Zote zipo ndani ya dunia moja sijaona dunia mbili
Mwenye hii dunia ni mmoja
Dini hizi ni sawa na watoto Mapacha lakini baba yao ni mmoja
Hiyo tofauti wanayoitafuta sijui ni ipi
Labda kuna mtoto mmoja amezaliwa na Nyati na mwingine Kifaru kidogo wanaweza kuwa na tofauti lakini watoto wote wa Kifaru sioni tofauti
Mwl Nyerere alisema ni ujinga
Naungana na Mwl Nyerere baba wa Taifa kuwa udini ni ujinga na upumbavu
Ongeza na tusi jingine hapo
Wambie basi hao mabosi wenu wanaowalipa kushinda mtandaoni mnatetea mauajiNiwashe moto na mimi si nipo ndani ya chumba hichi hichi ukiwaka hapa hachomoki mtu, moto wa udini hauna uchawa ni show kali ile
Sidhani kama Wakatoliki halisi wangevumiliwa waandamana kwenda Ofisini za UN au Ubalozi wa Vatican kulalamika kuhusu kudhuriwa kwa viongozi wao kidini kama Padri Kitima na baadhi ya mapadri kupotea na kupatikana katika mazingira tata, huu mzaha wa Wakatoliki feki hauna afya kabisa kwa nchi.Hakika turufu ya dini siyo nzuri
We fikiria wale waislam waliojifanya wakatoliki na kwenda pale ubalozi wa Vatican na kufanya mambo ya dharau.
Itakuwaje na vijana wa kikristo wakijifanya waislam na kwenda Makao makuu BAKWATA kupinga msimamo wa BAKWATA
Huu uhuni wao una madhara zaidi kwao kuliko Kwa kanisa katolikiSidhani kama Wakatoliki halisi wangevumiliwa waandamana kwenda Ofisini za UN au Ubalozi wa Vatican kulalamika kuhusu kudhuriwa kwa viongozi wao kidini kama Padri Kitima na baadhi ya mapadri kupotea na kupatikana katika mazingira tata, huu mzaha wa Wakatoliki feki hauna afya kabisa kwa nchi.