Lugha ya picha. Pole mamdogo
Lugha ya picha kiaje? Kumbe hapo ndio kanyoosha kiswahili? Mbona mimi sjaelewa! KISIMI ndio nini?
Kama hukijui basi sijui kama unaweza kumsaidia tatizo lake
hebu weka picha yenyewe hapa tuione!Lugha ya picha. Pole mamdogo
hebu weka picha yenyewe hapa tuione!
Ok!
1 What is KISIMI?
Or
2 What do you understand by the term 'KISIMI'?
Mashaxizo unaniuliza swali gumu sana, unaweza kunibadikishia swali lingine?
Loading......hadi google imeshindwa kutoa majibu
Usinizonge sana, nimesha ita beste wangu wa ukweli waje wanipe jibu kama wewe umeshindwa!
Na utabaki hivyo hivyo na uchoyo wako!
Sawa mi mchoyo, ukipata jibu uni cc na mimi
utafiti naona unanizonga tu!
Ngoja niwaite mabeste wangu waje wanipe jibu hapa!
miss chagga, ennie, tinna cute, sister, karucee na demba! Mabeste zangu wa ukwe-enh! Naomba mnipe maana ya 'kisimi' kama ilivyotajwa kwa sired hapo, naona huyu utafiti ananizonga tu!
Mi nataka nimshauri mleta mada but huo msamiati ni mgeni kwangu!