Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Habari madaktari,jamani naomba mnisaidie, nimejifungua mwezi wa kwanza mwaka huu, nimekaa kama mwezi hivi nikiamka asubuhi kisimi kinanium mfano wa jipu linavovuta mpaka nakosa amani naomba anaweza kujua tatizo ni nini au tiba yake, kwa aliye serious lakini
Hongera kwa kuzaa ila pole sana kwa hilo tatizo dada.Tatizo liko sehemu nyeti na ya burudani.Inauma uume unapoingia au inaume tu?