Sielewi, ni kitu gani?

Sielewi, ni kitu gani?

Habari madaktari,jamani naomba mnisaidie, nimejifungua mwezi wa kwanza mwaka huu, nimekaa kama mwezi hivi nikiamka asubuhi kisimi kinanium mfano wa jipu linavovuta mpaka nakosa amani naomba anaweza kujua tatizo ni nini au tiba yake, kwa aliye serious lakini

Hongera kwa kuzaa ila pole sana kwa hilo tatizo dada.Tatizo liko sehemu nyeti na ya burudani.Inauma uume unapoingia au inaume tu?
 
Utafiti naona unanizonga tu!
Ngoja niwaite mabeste wangu waje wanipe jibu hapa!
miss chagga, Ennie, tinna cute, sister, Karucee na DEMBA! Mabeste zangu wa ukwe-enh! Naomba mnipe maana ya 'KISIMI' kama ilivyotajwa kwa sired hapo, naona huyu Utafiti ananizonga tu!
Mi nataka nimshauri mleta mada but huo msamiati ni mgeni kwangu!
Mmh!!
Nami nasubiri jibu!
 
Back
Top Bottom