Delightie
Senior Member
- Feb 7, 2014
- 138
- 201
Habari madaktari, jamani naomba mnisaidie, nimejifungua mwezi wa kwanza mwaka huu, nimekaa kama mwezi hivi nikiamka asubuhi kisimi kinanium mfano wa jipu linavovuta mpaka nakosa amani naomba anaweza kujua tatizo ni nini au tiba yake, kwa aliye serious lakini.