Utafiti naona unanizonga tu!
Ngoja niwaite mabeste wangu waje wanipe jibu hapa!
miss chagga,
Ennie,
tinna cute,
sister,
Karucee na
DEMBA! Mabeste zangu wa ukwe-enh! Naomba mnipe maana ya 'KISIMI' kama ilivyotajwa kwa sired hapo, naona huyu Utafiti ananizonga tu!
Mi nataka nimshauri mleta mada but huo msamiati ni mgeni kwangu!