Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

Mnataka kuivuruga Rwanda kama Tanganyika ilivyoivamia na kuitawala Zanzibar? Hamuwezi. Rwanda ni tofauti na Zanzibar. Zanzibar ilikuwa haina jeshi enzi zile lakini Rwanda leo wana jeshi mkijaribu upuuzi wenu watawatoboa macho.
Mnajeshi gani ninyi
 
Mkuu hii EAC naiona kama club ya kutuongezea matatizo tuliyonayo.Ebu fikiria wakimbizi wa Afrighanistan ambao wana uzoefu wa vita wakifurushwa UK wanatua Rwanda watafanya nini zaidi ya ujambazi/ujangili katika eneo lote la maziwa makuu.

Rwanda kama nchi tayari ni tatizo.
Rwanda mjasiriamali kila mkimbizi na Bei yake
 
Back
Top Bottom