Sielewi ninapendwa kweli au nafanyiwa maigizo

Sielewi ninapendwa kweli au nafanyiwa maigizo

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Mie ni kijana nilimaliza chuo ajira hamna. Basi nikaamua kujiajiri now nafanya biashara Mungu anasaidia.

Kutokana na shughuri zangu za Biashara nina mazoea na watu wengi, dada kwa Kaka, wamama kwa wa baba. Basi bana kuna mdada mmoja ni single maza anaishi peke yake, anafanya kazi za kawaida ofisi moja.

Basi kutokana na mazoea ya hapa na pale tumejikuta tumezoeana Ile kawaida, sijawai mtongoza, huyu dada nowdays ananionyesha upendo sijui upendo wa kirafiki au kimapenzi .

Akipata chochote ananiletea zawadi, sio zawadi kubwa zawadi za kwaida, akipika chakula kizuri ananiletea, yaani akiona kitu kizuri hawezi nisahau. Ashanikaribisha kwakwe Ila mie sijawai kwenda kwake.

Hivi huu ni upendo wa kirafiki au anajisogeza huyu bi dada, mabaharia nyie mnazichukuliaje hizi situation,, maana sitaki kumla,nikimla akija dukani kwangu atataka vya bure[emoji12]
 
Mie ni kijana nilimaliza chuo ajira hamna. Basi nkaamua kujiajiri now nafanya bihashara mungu anasaidia.

Kutokana na shughuri zangu za Bihashara nina mazoea na watu wengi, dada kwa Kaka,wamama kwa wa baba. Basi bana kuna mdada mmoja ni single maza anaishi peke yake, anafanya kazi za kawaida ofisi moja.

Basi kuto
Mle tunda kimasihara...
 
Mm pia nafanya biashara tena zaidi na wanawake,kuwa makini huo ni mtego ukinasa umekwisha...ukiwa unafanya biashara na wanawake usitongoze acha wao ndo wakutongoze...wanawake wanaotongoza huwa hawapigi vizinga!
 
Unajua maana ya PLATONIC FRIENDSHIP! ni pale mwanamke anakua na urafiki na wewe uliopitiliza ila sio wa kimapenzi, why!? Just incase huko aliko akipigwa chini fasta anajua pa kukimbilia.
 
Kabisa, hao wanaokutongoza vua chupi piga sepa
 
Unajua maana ya PLATONIC FRIENDSHIP! ni pale mwanamke anakua na urafiki na wewe uliopitiliza ila sio wa kimapenzi, why!? Just incase huko aliko akipigwa chini fasta anajua pa kukimbilia.
Mmm, atavuliwa chup afu aachwe
 
Wewe endelea kupokea na kula ..ukipewa puchi gonga..acha kuuliza maswali
 
Back
Top Bottom