Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Mie ni kijana nilimaliza chuo ajira hamna. Basi nikaamua kujiajiri now nafanya biashara Mungu anasaidia.
Kutokana na shughuri zangu za Biashara nina mazoea na watu wengi, dada kwa Kaka, wamama kwa wa baba. Basi bana kuna mdada mmoja ni single maza anaishi peke yake, anafanya kazi za kawaida ofisi moja.
Basi kutokana na mazoea ya hapa na pale tumejikuta tumezoeana Ile kawaida, sijawai mtongoza, huyu dada nowdays ananionyesha upendo sijui upendo wa kirafiki au kimapenzi .
Akipata chochote ananiletea zawadi, sio zawadi kubwa zawadi za kwaida, akipika chakula kizuri ananiletea, yaani akiona kitu kizuri hawezi nisahau. Ashanikaribisha kwakwe Ila mie sijawai kwenda kwake.
Hivi huu ni upendo wa kirafiki au anajisogeza huyu bi dada, mabaharia nyie mnazichukuliaje hizi situation,, maana sitaki kumla,nikimla akija dukani kwangu atataka vya bure[emoji12]