Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy
Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya mtu mmoja anacheka sana kwa kila kitu anachosema mwenzake.
Nimejitihadi kuangalia youtube videos zao tena mwenyewe nikiwa nimetulia ila bado sikuona content ya maana kwa maana ya utani au comedy yenyewe.
Naona tu ni kama watu wanapiga kelele na kuchekacheka.
Kwanza ingependeza huyo boss wake wake aitwe Issa Kicheko badala ya Issa Tambu. Hata hivyo kilichonishangaza ni hao jamaa wanapata views nyingi sana, hadi laki !