evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
FIU iwachunguze hawa watu watakuwa wanafanya au wanatumika kwenye suala la utakatishaji fedha .
Na pia nishahuri serikali ipige marufuku malipo ya fedha zaidi ya kiasi fulani let say milion 5 kufanyika kwa hard cash.
Hivi Serikali mpo macho kweli hawa watu wanaonyesha kwenye video zao wanauza magari hard cash milion 80 ,100 au zaidi. Wanalipwa mkononi milioni zaidi ya 100 au zaidi.
Huu ni utaribu mbovu ambao unachochea ukwepaji kodi na pia una uelekeo wa utakatishaji pesa.
Nchi nyingi zinazojitambua haziruhusu huu ujinga