Kuna watu wanapenda kucheka wakiona tu sura za jamaa hao. Kwa hiyo inawezekana kabisa wewe ukawa hujaona cha kuchekesha lakini wengine wakawa wameona. Isikupe shidaKuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy, watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana, mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya mtu mmoja anacheka sana kwa kila kitu anachosema mwenzake.
Nimejitihadi kuangalia youtube videos zao tena mwenyewe nikiwa nimetulia ila bado sikuona content ya maana kwa maana ya utani au comedy yenyewe, naona tu ni kama watu wanapiga kelele na kuchekacheka. Kwanza independent huyo boss wake wake aitwe Issa Kicheko badala ya Issa Tambu. Hata hivyo kilichonishangaza ni hao jamaa wanapata views nyingi sana, hadi laki !
Ivyo ndio vitu watz wanapendaHata hivyo kilichonishangaza ni hao jamaa wanapata views nyingi sana, hadi laki !
Uko serious sana mkuuKuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy
Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya mtu mmoja anacheka sana kwa kila kitu anachosema mwenzake.
Nimejitihadi kuangalia youtube videos zao tena mwenyewe nikiwa nimetulia ila bado sikuona content ya maana kwa maana ya utani au comedy yenyewe.
Naona tu ni kama watu wanapiga kelele na kuchekacheka.
Kwanza ingependeza huyo boss wake wake aitwe Issa Kicheko badala ya Issa Tambu. Hata hivyo kilichonishangaza ni hao jamaa wanapata views nyingi sana, hadi laki !
Ilimradi hawavunji sheria ya nchi tuwaache na maisha yao. Tukianza kujadili kucheka na utani wa watu tutafeliKuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy
Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya mtu mmoja anacheka sana kwa kila kitu anachosema mwenzake.
Nimejitihadi kuangalia youtube videos zao tena mwenyewe nikiwa nimetulia ila bado sikuona content ya maana kwa maana ya utani au comedy yenyewe.
Naona tu ni kama watu wanapiga kelele na kuchekacheka.
Kwanza ingependeza huyo boss wake wake aitwe Issa Kicheko badala ya Issa Tambu. Hata hivyo kilichonishangaza ni hao jamaa wanapata views nyingi sana, hadi laki !
Views ndiyo hela. Wewe hapa kutwa kuweka bando na kulalamikia Serikali wakati hao akina Dotto Magari na Issa Tambuu hawajasoma kama wewe lakini wanatengeneza mkwanja kwa hizo contentsKuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy
Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya mtu mmoja anacheka sana kwa kila kitu anachosema mwenzake.
Nimejitihadi kuangalia youtube videos zao tena mwenyewe nikiwa nimetulia ila bado sikuona content ya maana kwa maana ya utani au comedy yenyewe.
Naona tu ni kama watu wanapiga kelele na kuchekacheka.
Kwanza ingependeza huyo boss wake wake aitwe Issa Kicheko badala ya Issa Tambu. Hata hivyo kilichonishangaza ni hao jamaa wanapata views nyingi sana, hadi laki !
Views ndiyo hela. Wewe hapa kutwa kuweka bando na kulalamikia Serikali wakati hao akina Dotto Magari na Issa Tambuu hawajasoma kama wewe lakini wanatengeneza mkwanja kwa hizo contents
Badilikeni tumie mitandao vizuri pamoja na kina brazaj na Carlos The Jackal , mutengeneze fedha na naamini hamtakuwa na muda mchafu wa kuilalamikia Serikali