Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wewe Ng'ombe wa Samia , hao wapuuzi wenzio WAMEISHIA kua madalali Kwa sababu ya Mazingira magumu na ukosefu wa Ajira ambao Umetengenezwa na Samia !!.Views ndiyo hela. Wewe hapa kutwa kuweka bando na kulalamikia Serikali wakati hao akina Dotto Magari na Issa Tambuu hawajasoma kama wewe lakini wanatengeneza mkwanja kwa hizo contents
Badilikeni tumie mitandao vizuri pamoja na kina brazaj na Carlos The Jackal , mutengeneze fedha na naamini hamtakuwa na muda mchafu wa kuilalamikia Serikali
Mimi muuza kitimoto wala sihitaji views, nina wateja mpaka wengine wanakosa nyama.Views ndiyo hela. Wewe hapa kutwa kuweka bando na kulalamikia Serikali wakati hao akina Dotto Magari na Issa Tambuu hawajasoma kama wewe lakini wanatengeneza mkwanja kwa hizo contents
Badilikeni tumie mitandao vizuri pamoja na kina brazaj na Carlos The Jackal , mutengeneze fedha na naamini hamtakuwa na muda mchafu wa kuilalamikia Serikali
HAJUI WENZAKE IZO CONTENT NDO ZINAWAFANYA WAPATE WATEJA WA MAGARIAcha kuwa serious sana kwenye maisha mkuu, just relax..!
Daahh ila humu 🙌😂Views ndiyo hela. Wewe hapa kutwa kuweka bando na kulalamikia Serikali wakati hao akina Dotto Magari na Issa Tambuu hawajasoma kama wewe lakini wanatengeneza mkwanja kwa hizo contents
Badilikeni tumie mitandao vizuri pamoja na kina brazaj na Carlos The Jackal , mutengeneze fedha na naamini hamtakuwa na muda mchafu wa kuilalamikia Serikali
😂😂🤣Labda nina stress kweli
Wewe ng'ombe wa Lissu utaishia kuandika nyuzi la lawama kila siku humu JF na fursa zinakuruka. Endelea kudharau udalali.Wewe Ng'ombe wa Samia , hao wapuuzi wenzio WAMEISHIA kua madalali Kwa sababu ya Mazingira magumu na ukosefu wa Ajira ambao Umetengenezwa na Samia !!.
Sasa mankimbilia kuwadanganya Kwa Betting, Kutengeneza vi contents vya kipuuzi puuzi ili kuingiza chochote kitu.
Tunaenda kuibadilisha Nchi hii hivi karibuni.
Niambie chimbo lako lilipo nije nikuungishe na timu yangu maana mimi kitimoto na Guinness baridi ni damu damuMimi muuza kitimoto wala sihitaji views, nina wateja mpaka wengine wanakosa nyama.