Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

Yaani wewe jamaa hii comment yako inawakilisha fikra za watu wa arusha kabisa.

Mtu akifika hapa bongo kama ni mgeni akiskia jinsi watu wa arusha wanavyoiongela Arusha anaweza akahisi hata CAPE TOWN inasubiri kwa hiyo arusha, kumbe ni one hell of over-glorified small city. watu kama wewe mimi huwa nawaita EMPTY CHEST BEATER.
 

Ha ha ha
One heluva over glorified small town!!
 
Ukishayafanya maisha kuwa mashindano hautashinda utaishia kufanya haramu mengi
 

NATABIRII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…