SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Uko sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe jamaa hii comment yako inawakilisha fikra za watu wa arusha kabisa....wamasai wa arusha wanabeba maboksi ya pesa kwenda benki,mfano ukienda pale crdb wana sehemu kuna bulk cash,watu wanadeposit tsh mil 200, mia tatu kwa foleni, ukija dar unakuta eti mil50 mwenye duka anasafirisha kwa escott,alaf eti mimi siko benki za wabongo nina akauti barclays na std chatered,ila deposit zake za mwezi ukimtuma statement ni robo page,anazunguka city centre na magazeti...
Kuna siku niko mishe zangu naenda bunju shamba,nkaingia sheri pale bamaga, mhudumu akaja ..niweke kiasi gani??nkamwambia mpaka ijae...akaguna ila akajaza, badae akashindwa kuvumilia,,eti bosi unaenda safari nini?nkamuuliza kwa nini>??eti mhh full tenki uku nadra sana/kawida ni buku 5, 20 au wakijipinda ni half tank//loading!nkajiuliza arusha watu wanavijivisima na na mapipa,...vijana kawaida tunatega pale town kucheza na madili,yasipotiki,gari inalala pale mango garden alaf njemba inakula public,,,wanajisemesha dah foleni siiwezi hii,aaah aahaah! Yani dar wakikata mafuta siku 3 gari zinakata wese barabarani, mara foleni ya madumu sheli,aah ahaa aah....wakikata wiki???
watu wana overdraft za b2 ,5 mpaka kumi wakati dar izo ni kwa ajili ya akina bakhresa!
Arusha ukiwa na lodge yenye rum 10 per day unaondoka na lak4 mpaka6, ukienda kwa manyanya pale unakuta gesti nzuriiii,chumba sh elfu20,25....mapipa pale self nyuma ya sea boys ni sh30 elfu full ac wakati kwa arusha icho chumba utapambana na mbu mpaka asubuhi. Digrii arusha kama pale ESAMI mil16 inapotea ila udsm chuo bora unasoma executive program kwa mil5???? kila mtu ana vigezo vyake vya ku evaluate maisha...dar unakuta mtu kala suti ila anaishi bunju ,mpaka jioni yuko pale city centre pale georges anavizia mzee flani agongee lift mpaka bunju,hapo sala kubwa ni mzee asimfiksi maana wazee wa mujini nao balaa tupu...arusha unakuta mhuni anauza jiwe pale mnara wa mwenge,amekula kipensi na sendo ila amepaki tx ya 2005,au range sports...wakati mission tauni akila timing anunuliwe mshikaki pale shibamu,hapo ni baada ya kufanya udalali na kuuza toyota vitz ya mteja ,hapo hapo anaulizia kwa cm kibaa chake cha tandika kimeingiza sh ngapi? dah nimeishi dar for 75% ya maisha yangu,arusha kama 5%ila naikubali arusha saaaaaana. Yani unakuta salary za vijana take hom usd 3000 na per diem kibao,nenda eac, un ,ictr...njoo dar iyo ni salary ya commissioner au jaji,nadeclare interst mimi ni lawyer na accountant ila unakuta departmental leader kama pale crdb mtu anakula take home 4m na housing loan ya 80m,uku govt salay za ajabu na kukimbiza na taakukuru eti hakima kapewa lak3???nenda pale exim viajan wamepaki ma bmw ,alaf teller/cashier...watu wanakimbilia kimara kununua ploti4m wanaenda bar kujisifia nina kiwanja sasa nasimamisha ghorofa mbili,,,uliza value ya ploti na value ya ardhi pamoja na mjengo!!!!!
Lori la mchanga tan12 arusha sh laki2 ulizia dar tegeta kwenda kinyerezi sh 120...sijui mwenzangu ubora wa maisha mnaupimaje???nenda aggrey pale kariakoo uone vijana wanaojisifia kwa mafanikio ni wale wenye vibanda vya simu kuuza housing na motherboard toka china,mtaji sh mil4 mkopo wa azania au akiba,kila siku afisa mikopo anaranda na makufuri .....dar darslama.
Dar ndo kwetu ila dah naadmire maendeleo ya arusha kuliko dar,,,watu wanaponda eti kuwa na chopa na kuchoma mbuzi waili watatu na vogue nje si ishu wakati dar vogue tu wanaendesha watu kichele,unaweza kukaa magomeni mataa masaa3 haijakatiza vogue, ni gx90,100,e100 navitz,arusha kila mtaa utaona range,Q7, nk. Acheni dharau jamani, nani dar anaenda kwenye shughuli za biashara zake na chopa kama si kumsikia kwenye redio bob sambeke anaenda shambani na chopa?dar ni wazungu au basi helikopta ya jeshi la kova...kuna siku kijihelikopta cha souther sun kimetua pale juu ya jengo,yani city centre ilizizima kupiga picha na kuload internet wakti hapa arusha watu wameegesha chopa,asubuhi wanaenda mashambani na jioni kurudi pale arusha port kuegesha, na hamna mwenye time...
Dar is good,kwa hasa civilized life, but for success si kivile. Uku arusha kukutana na escalade za mwale,ranges na nk ni kawaida si kama dar mpaka watu wanapiga picha. Ivi dar kama si akina masawe, msofe,nk wenye mafanikio ya utata , nani unamadmire anakula bata na ana investment za uakika,utasikia mengi,bahkresa,mohamed...wote hawa wapo mpaka mikoani,ww unataka dar tu.....utasubiri sana....
Lara1,Karibu arusha a land of suceess and bata kwa sana...uje ule mbuzi,samaki na kuku,si wale wa mlimani city wa plastic na wafugwao kwenye mabwawa bandia ya mbweni.!
Nawatakia usiku mwema bandugu.
Yaani wewe jamaa hii comment yako inawakilisha fikra za watu wa arusha kabisa.
Mtu akifika hapa bongo kama ni mgeni akiskia jinsi watu wa arusha wanavyoiongela Arusha anaweza akahisi hata CAPE TOWN inasubiri kwa hiyo arusha, kumbe ni one hell of over-glorified small city. watu kama wewe mimi huwa nawaita EMPTY CHEST BEATER.
Hii ni dalili nzuri kwamba watanzania wengi ni wa hapa hapa.Dar nini bhana!huku mikoani kuna wengi tu tena wafanyabiashara wa kawaida sana dili zao international.We jidanganye uje na sijui CPA yako hapa bila euro halafu udhani eti watu watakuheshimu,hiyo kitu haipo!Sana uanze kuibia wananchi tu halmashauri zetu,ama utoe mikopo benki kwa rushwa.Wapo wengi tu mikoani kwenda kla,Nairobi,Dubai ni kama kwenda kariakoo na posta tu hapo Dar.Tofauti ninayoiona sasa,kutokana na spirit kama hii hasa kwa wasomi waliosoma udsm,wengi wamekuwa majizi wa pesa za serikali na kurudi Dar kutambiana eti mnashindana maisha.Mipango mingi imekuwa ikikamua sana watu wa mikoani na kupelekea mapato mengi yabaki Dar.Siku mfumo mbaya wa uchumi uliopo ukivunjwa,wengi mtakuwa maharamia.Ukipima uelewa asilimia kubwa ya watu wa Dar hawajui kwa nini wanaishi,wengi wanadhani ni mashindano ya Olympic!kushindana uzinzi,kushindana ulevi,umaarufu,ujuaji(wakati hakuna lolote)wenyewe mnaita ujanja!Kushindana vyeti wakati wengine wanashindania elimu,kujifanya wazungu kumbe ni utumwa tu,kujiona mna akili na watu muhimu sana(dellusion of glandeur).Saw jifarijini.Muda unakuja,nao upo,mfumo utabadilika na umeanza kubadilika.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums