Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi


Watu wapo tofauti tofauti
Kuna watu wao wanafikri hela is everything, they can do whatever to get rich, wanaweza hata ku-compromise diginity yao simply because of money. Those are kind of people you talk about

Lakini kuna watu wanafikiria humanity in first place, wako radhi na kisomo chao cha hali ya juu labda daktari aache kufanya well pay job Dar,Nairobi, US or wherever you name it wakaenda kusaidia watu kijijini huko Mpanda au Nkasi kwa mshahara wa kutosha kula chakula na kupanga nyumba ya kuishi. Hivi hao watu wanaojitolea wakati mwingine pesa from their own pocket waende kusaidia kufundisha shule, zahanati n.k pale kijijini kwenu unaweza kuwaona kama ni washamba fulani hivi???

Je kila msomi/mtaalamu aamue kubaki kufanya kazi majijini Dar,Ar etc hao watu wa mikoani watapata wapi huduma??

Nafikri ni vema tujiulize, what is life, na nini tunahitaji kwenye maisha yetu, je tunataka tupewe sifa kuwa jamaa ana mawe hatari, au jamaa anaendesha ndinga ya bei mbaya ay jamaa kajenga kitu ya heshima?? nini haja ya maisha yetu??. Hivi ukipewa pesa zote za BOT mfukoni mwako ndio utajawa na furaha na amani??? Hivi inakuwaje matajiri ukwasi wanajiua, au hawana raha???

Money can't buy Happiness. Happiness and Love is everything humanity lack
 
Lara, unachosema is correct,ningekuwa dsm nahisi ningekuwa na digrii za aina tofauti tofauti nne plus masters za kutosha.
Issue inakuja kwamba umemaliza chuo, umeingia mtaani kusaka kazi (huko dsm) umetafuta weee but where lakini muda huo huo kuna mavacancy ya kutosha mkoani especially kwenye halmashauri labda na kwenye mabenki; je utaacha kuyachangamkia (ukizingatia umeshasotea kazi kweli kweli). Kwa hiyo most of the time uwepo wa mikoani ni kutokana na circumstance kama hizo. Hapo kumbuka ushakaa kwa ndugu mpaka wamekuchoka maana you are no longer productive kwao bali unawaongezea maexpense tu.
Wakati natafuta kazi nilikuwa natumiwa hela za matumizi na wazazi Shs.30,000/= ambazo natakiwa nitumie mwezi mzima wakiassume kwamba nakula na kulala bure kwa ndugu, sasa hiyo 30 itoshe nauli ya kwendea mjini, kununua bahasha na karatasi za kuandika barua za application na ununue tugazeti humohumo uone hizo nafasi za kazi na itoshe. Nilivyopata kazi na kupangiwa mkoani nilitimua fasta bila kuangalia nyuma.
Imagine nina miaka sita kazini this year ndo naenda kuattempt CPA exams.Kumbuka, siko mkoani tena bali wilayani

Can somebody come out with what to do kupata changamoto hizo hizo hata ukiwa mikoani?
 

Hahahaha si mchezo lazima tubanane
 
Lara 1 nowadays sky is no longer a limit,..may be ur last breath,if u say sky`s the limit,then u psychologically pre-condiion urself kwamba nikipata benz baaaaasi,
 
Bora nirudi zangu kijijiini nikakate mkaaa, maisha haya siweziiii * 2

Huu wimbo aliimba nani vile?
 
Lara 1 nakukubali kwa michango yako ya kuelimisha jukwaa hili. Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani fursa na changamoto za Dar zinaleta maendeleo ukizitumia vizuri, lakini kwa upande wa pili changamoto hizi hizi ni kikwazo sana kwa maendeleo yetu: nyumba na viwanja ni ghali sana, vyakula, matibabu, usafiri ukichangiwa na foleni zisizoisha na starehe na anasa kama ulivyoelezea kwenye ile thread nyingine. Faida zake kama ulivyosema ni msukumo wa kutafuta zaidi, chance na nafasi za kusoma zaidi vyuo nk. Lakini fursa hizi sio kwa kila mtu mfano wengine wanaajiriwa akiwa na malengo ya kukusanya mtaji ajiajiri, kuingia gharama ya kuishi jiji hili nadhani sio faida kwake maana kila kitu ni gharama kubwa mno, hata akitaka kuanza kuwekeza anahitaji mtaji mkubwa sana. Kuwa mikoani ni kweli kutokuwa na changamoto, access ya vyuo, mawasiliano na mzunguko mdogo wa hela inaweza kuwa kikwazo lakini pia fursa ni nyingi tu sawa na huku. Aliye mkoani siku hizi kuna online course, kuna open university na pia vyuo vingi vimefungua matawi mikoa mikubwa kama Mwanza, Arusha. Kila mtu anapaswa kuzitumia changamoto zinazomzunguka kama fursa...mikoani ardhi ni nafuu hat ya kukodi tu kwa miaka chache unayokaa, nyumba utakaa kwa gharama nafuu na mazingira tulivu, shule na matibabu na usafiri ni rahisi ukilinganisha na Dar hivyo kukuwezesha ku save hela kwa ajili ya kuwekeza. Mikoani kuna mbuga za wanyama, utalii mtu kufanya biashara kama hotel, tours. Baadhi kuna madini kuwekeza kwa kiwango chako au kumiliki vitalu. Kuna ardhi yenye rutuba na nafuu na pia manpower kama unapenda kufanya kilimo au ufugaji. Changamoto kubwa ni ukosefu wa soko ambapo sasaivi miundo mbinu mingi inajengwa. Udogo wa mikoani unakufanya uwe na urahisi wa kupata mikopo, kipaumbele na fursa nyingi hata mtu mwenye ajira au mtaji na kipato cha kawaida tofauti na huku Dar vigezo na masharti kibao. Mimi nimekulia Dar-mikaoni- Dar lakini katika ajira nimezunguka karibia mikoa yote ya Tanzania isipokuwa 3 tu, nikiangalia fursa ziko kote sawa tu, ni wewe mwenyewe jinsi gani unajipanga. Hata hizo ajira za sijui UN etc ziko hadi huku mikoani ukienda wamejaa tele.
 
bado sijaelewa kwahiyo Dar sio mkoa au kunanchi inaitwa Dar???nikukumbushe tu au kukufahamisha nilivyosoma hii post yako mojakwamoja wewe ni mzawa wa Dar hizi story za nje ya hapo mkoa wa darslam unazipata kupitia kwa watu waoga wakidar walioishi katika baadhi ya hii mikoa ,kwa taarifa yako kuna watu huku ni paper chaser zaidi ya ujuavyo kuanzia kwa mabusiness man mpaka waajiriwa na daily tunapigana vikumbo hapa JKNIA kupanda flight kwenda abroad tatizo udaslam unawachanganya na kujiona ya the top of everything in TZ..kwa habari yenu hata mnaotuita wa mikoani tunajua kuspend na kuzimake hizo nyekundu,even Benjamini,tokeni huko kwenye joto hasira mje huku kwa wataftaji na wapiganaji like Mwanza(Economic zone),Arusha,Mbeya..
 

Kikubwa nilichokiona kwenye thread yako ni kujibu swali ambalo hatujakuuliza(Siendi Mkoani Ng'ooo!!!!!!!!! DARESALAAM IS THE FUTURE!!!!!!),secondly unasema mfukoni/benki huna hata mia,what does this mean? Kwa hiyo Dar unaishi kama omba omba halafu wakati huo huo hutaki kwenda mikoani kutafuta maisha ya kujitegemea. In short facts ulizotoa hapo juu ni ngumu sana kwako ku-achieve,
 
umesahau mjini sky is not the limit its just the point of view
 

Psheeeeeeeeeeeeew!!!!!!!!! You must be crazy or something! Si bure!
 
Ungekuwa Mzungu wewe! Kumbuka Industrial revolution, ndo uje na mibangi yako hapa!

HAHAHAAAAAAAAAAA! (Nimecheka kwa herufi kubwa! Take note!) JOTO HASIRAAAAAA Limekukaba kooni! We lima tu huko kwenye kata maana hata wilayani unakusikia, sie tutanunua bana!

DONT HATE THE PLAYER! HATE THE GAME!!!!!!!!
 
Psheeeeeeeeeeeeew!!!!!!!!! You must be crazy or something! Si bure!

Kwa maoni yangu naona wewe ndo utakuwa crazy,kwa kuwa mwanzo kabisa mwa thread yako unasema: Jamani HUU NI MTAZAMO WANGU BINAFSI LARA 1!! (Hii sio dini na mimi sio nabiii so sitegemei wote mseme AMINA kuitikia pasi kupinga hoja yangu! You may agree to disagree! Ila jamani tutunze staha na ustaarabu wetu! Tuwe wavumilivu na ubishi uwe wa hoja tu si kutukanana! Aksanteni. Hivyo nilitarajia ujibu points/hoja zangu ambazo ni nzito kwa kutumia hoja nzito na siyo kama ulivyojibu hapo juu. Tuyaishi kwa vitendo yale tuyanenayo mbele ya jamii na si vinginevyo!!!!
 

Ni kweli kabisa nakumbuka mwaka 2005 kuna jamaa mmoja msukuma kutoka Mwanza sijui Shinyanga alikuja Dar kwenye msiba wa ndugu yake, tuliye ishi wote jirani,huyu jamaa alikuwa mwalimu wa shule ya msingi, jiji lilimkolea so akakaa kwa kama wiki mbili zaidi, alitokea kunizoea zoea so nikawa namuonyesha jiji, siku moja akaniambia anataka kunipa dili, nikamwambia powa nipe, akasema ana mtihani wa darasa la nne (mtihani wa taifa) anataka anipe nimsaidie kutafuta wateja, nikamwambia siwezi, ila kama anao wa form two au form four alete, basi akaenda kumpa hilo " dili kichaa" mwalimu mwenzake mjaluo wa Rorya. After three days jamaa akanifuata ananiambia. " I SAY MWANANGU!!! LILE PEPA SI NILILIUZA!!! NIMEPATA HELA NYINGIIIIIIIII SANAAAAAAAAAAA! I SAY HUWEZI KUAMINI!!! HE HE HE !...Nikamuuliza Sh. ngapi, jibu lake: ELFU KUMI NA NANE! Nilimdharau sana. Hata hivyo Lara1 inabidi kuwe na exemption hapo coz baadhi ya mikoa changamoto ni kubwa kama au kuliko Dar Es salaam. Kwa mfano Arusha, accoding to my opinion, mtu anaye safiri kutoka Dar Es salaam kwenda Arusha ni sawa na mtu anaye safiri kutoka New York kwenda Los Angeles. Hakuna tofauti sana, labda hali ya hewa na lafudhi za watu.
 


This is OUTRAGEOUS!!!!!!!!! Mimi nimeeandika thread yangu GENERAL TU! Sasa all of a sudden, out of the blue you know me na ukaenda mbele zaidi KUNIITA OMBA OMBA (As if nimewahi kukuomba hata 10 yako) na mambi kibao PERSONAL kuhusu mimi na hukujigusa kuijadili mada hataa ila ukakomaa na mimi mtoa mada! Sasa mi nishakuona hauko vizuri, so kwa kukuelewa sitaki malumbano na wewe manake na mimi nitaonekana kuna nati zimelegea bureee!


Hapo nilipobold MIND YOU, YOU DONT KNOW SHIT ABOUT ME SO HOW CAN YOU EVEN IMPLY THAT I DONT LIVE WHAT I PREACH?????!!!!!!!! If shit aint happening for you it doesnt mean it isnt happening for everybody.

OK BYE!
 
Born in Dar,risen and studied got a chance kuja Mkoani n i never regret na niliowaacha bado wapo nikija wao ni kunielekeza viwanja vipya of which age hairuhusu tena kuzurura usiku!!!!!

Jamani maisha ni gaps ukilifumania na ukawa na capital basi ndo imetoka tena!!!! Utazuka ubishi hapa mpaka basi hivi lara1vijana wangapi wanapush hizo Q7, Vogues na mengine kama hayo!!!!!

Inategemea unawekeza katika sekta gani ila kwa ukweli hapo Dar maisha ya kupanga Sinza au Kijitonyama,Magomeni au Kinondoni na kumechisha makochi na mapazia na kuta za ndani yanadukaza sana vijana wengi kwani gharama ya kuendesha maisha ni kubwa sana people are almost suffocating ila wanapenda tai na white shirts!!!!!

Mliobaki Dar well and good if and only if mtu ana qualitative and quantitative development,lakini kupaki BMW sio ishu asilani ni affordable saaaaana ila tu mkoani mafundi bado kama Dar na spare hakuna kwa wingi kama Dar sasa kama tunapima maendeleo kwa presence ya c200 barabarani haya keep recording!!!!!

Dar runs the country but again the engine belongs to few moguls wengine washereheshaji tuuuuu!!!!!!!Tena wengi
masikini wanapark bar kusubiri foleni iishe ndo waendelee na safari za home!!!!

Dar inaendeka tu much as mingo imekaa vizuri you go have fun with folks and old buddies then back to production point to roll the dices!!!!

Badilikeni wandugu hapo pananyonya sana kwa wengi ila kwa sababu bank ballance ni siri ya mtu then kifo cha tai shingoni!!!
 
Calm down lara 1, hakuna sehemu yo yote niliyoandika kuwa ninakufahamu wewe,nilikuuliza kwa kuwa wewe unasema huna hata mia mfukoni/benki hiyo inamaanisha nini kwetu sisi wasomaji wa hii post? Kwa hiyo ukitazama comments zangu kwenye hii thread utagundua kuwa hii post yako ina maswali mengi kuliko majibu,so nilihitaji clear elaboration then tuweze kujadili vizuri.
 
Last edited by a moderator:
lara 1 , wengine tumezaliwa, nimesoma na tumeanza kazi Dar na tukasema hivyo hivyo (Dar mimi siondoki) ila siku ya siku unaambiwa hebu nenda mkoa ukafatilie kazi inaendaje? Huko huko unapotea.

1. Mkoani watu wamerizika ila Dsm chochote utakacho achieve WE BADO SANAAAAAAA! Sio kweli, kuridhika ni mtu na mipango yake sio mahali ulipo.

2.Mji COMPETITION IS TOUGH! DEADL! Hata mm nilivyotoka chuoni nilidhani hivyo hivyo. Nikakuta watu kibao wa MSc ofisini mpaka nawaza nikasome tena na mm.

3. Life is damn expensive!!!!! Hiyo ni kwasababu ukiwa Dar unatengeneza laki 6 kwa siku then matumizi ni laki 4 na nusu (faida laki 1 na nusu) wakati mkoani unatengeneza laki 3 then matumizi elfu 80 (faida laki 2 na elfu 20). Kwasababu dhamani ya pesa ni ile ile wa mkoani kapata faida zaidi.

4. Fursa hapa mjini ni nyingi mnoooo! Fursa ni utafutaji wako wa hizo fursa sio kukaa kizembe Dar then unasema hapa kuna fursa.

5. Ukiwa mjini unakuwa na VISON KUBWA! Na hapa tena, dreaming is a state of mind sio state of "presence". Akili ikiwaza makubwa basi itawaza tu haihitaji kuwa Dar ili kuwa na VISION KUBWA!

My take: Kama ulivyosema, . . . MAISHA POPOTE! WEWE TU NA AKILI YAKO! ni msemo wenye nguvu ila hufifizwa na mazingira na attitude ya watu waliokuzunguka. Mwanzo ulipatia then hapo mwishoni ukakosea. Kama hilo ni kweli, basi Moshi ingekuwa sehemu yenye watu WOTE ni matajiril kwasababu watu wanaojua kutafuta hela sana wako pale (Wachagga) lakini sio kweli kwasababu USIPOKUWA NA AKILI YA KUTAFUTA HELA (kama Mchagga) HUWEZI KUWA TAJIRI KWASABABU TU YA KUKAA MOSHI. Upo hapo?
 


Hio sina hata mia sijaisema kwenye main thread! Nilikuwa nataniana na mdau hapo kati!!!!! NDIO MAANA YA KUMQUOTE MTU! IT MEANS THE INFO YOU ARE PROVIDING NI SPECIFIC KWA HUYO UNAYE MQUOTE!!!!!!!!!! Ningetaka kusema sina mia kwa uma kama unavolazimisha ningesemea kwenye Main thread!

And what surprises me, all the elaboration you seem to require isALL ABOUT ME the author and NONE ABOUT THE THREAD! Its a bit strange dont you think?
 
lara 1 naona kama unazidi kujichanganya,kama suala ni kutaniana nilitarajia mwisho wa hiyo comment ya huo utani uweke neno LOL(Lough not loud). Kumbuka sisi kama wasomaji tunafuatilia thread mwanzo mwisho ili kupata kitu chenye manufaa kwa Taifa letu. Kindly,elewa tu kuwa kutokana na wewe kuleta thread zenye kuhusu maisha ya Tanzania,so nataka next time uwe makini,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…