.
mnh hayo maji ya visima ni salama hapa? au bado utahitajika kununua yale masafi ya ruvu....mmnh
Miaka kumi nyuma nilikuwa na wazo kama wewe na point kama hizo.. Nilishangaa sana kwa kijana kupata kazi mikoani na kukubalii.. ILA BAADA YA KWENDA KUISHI EUROPE KWA 4YRS NA USA KWA ZAIDI YA MIAKA MINNE.. Niliporudi nilianza kuangalia fursa na kuzitumia.. katika mikoa 15 niliyozunguka Dar ulikuwa mkoa wa mwisho kabisa katika list... Inategemea fursa unaziangalia vipi? na njia gani unapenda kupatia fedha..
Nipo mikoani na nina expand kuelekea mikoani na soko ninalolenga ni zaidi ya dsm.. SINA TATIZO LA FOLENI(sipotezi muda) SIKAI MAENEO YA MABONDE NA MILIMA(kimara, goba na kunapofanana)
Ingawaje ninakiri kitu kimoja RASILIMALI WATU WA MIKOANI WAPO WAZEMBE SANA NA WANARIDHIKA KWA VITU VIDOGO. ila hili sasa si tatizo kwangu kuna wakenya wengi TZ na wanaishi kama WATZ hakuna haja ya kibali cha kazi...
Ha ha haaa petrolhead upo!!!!
nipo huku "nadip" tu....
LOL - laughing not loud???????are you sure na ulichokiandika??? Lara 1 acha kulumbana na huyu mtindiga he/she is not in your class..back to the point nafikiri maisha ni popote haijalishi Arusha au Dar..kuna wengine tuko huku lakini mashida ya Dar mmmmh bora mtu ukaishi mikoani tuu...maana wakati mwingine hatutaki hata kurudi huko bongo shauri ya mashida ya Dar...LOL - Laughing Out Loud!!!!!
naona jinsi gani tulivyo na malengo ya chini. tunasema nchi ina rasilimali za kutosha je zipo dar?. ukitaka uzitumie hizo rasilimali usikae dar. watu wanazungumzia changamoto za fulani kajenga nyumba na mimi nijenge, mara huyu ana verosa na mi nijibane ninunue!. ndo changamoto hizo!, veery low. watu tunatakiwa kuwaza kuanzisha ranch we unaona mtu kufungua pub ni changamoto, tunawaza kuanzisha maplantation na kufungua microhydrodam projects. huku mikoani unafungua plantation kwa gharama ndogo tu. dar imejaa wachuuzii na watumishi na kamwe hawawezi kuwa marole model wangu. kribu kila mkoa una dhahabu kasoro dar. hapo ntakuja kuspend na sio kutafuta sababu na dream big money.
a
i
Lara 1 has very high IQ with constructive ideas.
Mkuu chukua tano zangu huko huko uliko.
nikuambie kitu mkuu Malila?. nilikuwa naangalia documentary moja inaitwa mugabe and the white african. nikajiuliza mbona wale wazungu wa zimbabwe walikua wanaishi mashambani?. nikagundua walishaona pesa nyingi iko wapi. kale ka documentary kanakohusu mji wa kigamboni kanaanza na mzungu mmoja kusema kwamba ''tanzania is the land of milion opportunities''. we unafikiri ni opportunities gani kama sio ardhi, madini , mito yetu na misitu. watanzania tunatakiwa kujua kwamba kuajiriwa ni second choice baada ya kushindwa kujiajiri.Mkuu chukua tano zangu huko huko uliko.