Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

.
mnh hayo maji ya visima ni salama hapa? au bado utahitajika kununua yale masafi ya ruvu....mmnh

Maji ya drilling ndio yanayotumika sehem kubwa ya dar..

Wengine tangu tunazaliwa hadi tunaanza maisha hatujui maji ya dawasco...

Sio drilling za kubahatisha, unaita chuo cha maji pale udsm.. Unawapa million zao kadhaa wanakutolea kisima mwenyewe utafurahi.. Unafikiri mahoteli yote makubwa unayokwenda wanatoa maji dawasco.. Dawasco inasua sua tu kuliko tanesco nani anaitaka maji ya mgao...
 
Miaka kumi nyuma nilikuwa na wazo kama wewe na point kama hizo.. Nilishangaa sana kwa kijana kupata kazi mikoani na kukubalii.. ILA BAADA YA KWENDA KUISHI EUROPE KWA 4YRS NA USA KWA ZAIDI YA MIAKA MINNE.. Niliporudi nilianza kuangalia fursa na kuzitumia.. katika mikoa 15 niliyozunguka Dar ulikuwa mkoa wa mwisho kabisa katika list... Inategemea fursa unaziangalia vipi? na njia gani unapenda kupatia fedha..
Nipo mikoani na nina expand kuelekea mikoani na soko ninalolenga ni zaidi ya dsm.. SINA TATIZO LA FOLENI(sipotezi muda) SIKAI MAENEO YA MABONDE NA MILIMA(kimara, goba na kunapofanana)
Ingawaje ninakiri kitu kimoja RASILIMALI WATU WA MIKOANI WAPO WAZEMBE SANA NA WANARIDHIKA KWA VITU VIDOGO. ila hili sasa si tatizo kwangu kuna wakenya wengi TZ na wanaishi kama WATZ hakuna haja ya kibali cha kazi...

Noted:
 
LOL - laughing not loud???????are you sure na ulichokiandika??? Lara 1 acha kulumbana na huyu mtindiga he/she is not in your class..back to the point nafikiri maisha ni popote haijalishi Arusha au Dar..kuna wengine tuko huku lakini mashida ya Dar mmmmh bora mtu ukaishi mikoani tuu...maana wakati mwingine hatutaki hata kurudi huko bongo shauri ya mashida ya Dar...LOL - Laughing Out Loud!!!!!

Mtindiga?? Utakuwa ni wewe unayejaribu kudandia gari kwa mbele. Kuhusu abbreviation LOL,hiyo ni tying error,hata wewe unaweza kukosea anytime.
 
Ndiyo sababu watu wa Mtwara na Lindi wanataka gesi iwe chachu ya ujenzi wa viwanda huko ili nako kuwe kama Dar!
 
@lara1 needs to be a columnists, upate makala yako gazeti flani audience kubwa zaidi isome ideas zako. Honestly sometime naingia JF kutafuta thread zako tu
 
hahahahhaha,,,,,nimefurahi na nadhani hujawahi ishi mikoani,,mfano wangu ni mwanza,,,
1.uchumi wa dsm ni tofauti na mikoani ila watu hawajaridhika ka unavyodhani
2.nimebahatika kusomeshwa na mzazi wangu kwa raha,,na trust me watu walioko ist,heaven of peace,ism,st.constantine kwa o na a-level mwanza ni wengi na i used to meet with them at airport au ism moshi,,
3.kuhusu investments,mapato ya wakazi wa mwanza yanatofautiana na dsm ila huku awards za ku deposit pesa bila kutoa ndani ya mwaka za tz wafanyabiashara wa mza wanaongoza,,,
kikubwa kipato cha dsm ni tofauti na mza ila hypothesis yako haina mantiki,,,,ukija mza nitafute nikupe tips za kutosha
 
kama dar ni future mbona hakuna mabilionea kama arusha?
 
naona jinsi gani tulivyo na malengo ya chini. tunasema nchi ina rasilimali za kutosha je zipo dar?. ukitaka uzitumie hizo rasilimali usikae dar. watu wanazungumzia changamoto za fulani kajenga nyumba na mimi nijenge, mara huyu ana verosa na mi nijibane ninunue!. ndo changamoto hizo!, veery low. watu tunatakiwa kuwaza kuanzisha ranch we unaona mtu kufungua pub ni changamoto, tunawaza kuanzisha maplantation na kufungua microhydrodam projects. huku mikoani unafungua plantation kwa gharama ndogo tu. dar imejaa wachuuzii na watumishi na kamwe hawawezi kuwa marole model wangu. kribu kila mkoa una dhahabu kasoro dar. hapo ntakuja kuspend na sio kutafuta sababu na dream big money.





a




i
 
kama dar ni future mbona hakuna mabilionea kama arusha?
 
watu watabisha ila ulichokiandika ni sahii, kwani hata wa mikoani hujawaacha, this is simple idea kuchezea barca lazima uwe jembe kwelikweli
 
Lara 1 tenga japo siku 5 tu kwa kila miezi miwili uzungukie mikoani, nakuahidi utaifuta kauli yako!Wengi hata hao unaowaona ni ma DON wa Dar wamewekeza sana mikoani na jeuri ya pesa ya mikoani ndiyo inawaweka mjini. Mikoani kuna fursa nyingi sana sema tatizo ni watu wachache wa mikoani ndiyo wanaozifanyiakazi fursa zinazopatikana.
 
naona jinsi gani tulivyo na malengo ya chini. tunasema nchi ina rasilimali za kutosha je zipo dar?. ukitaka uzitumie hizo rasilimali usikae dar. watu wanazungumzia changamoto za fulani kajenga nyumba na mimi nijenge, mara huyu ana verosa na mi nijibane ninunue!. ndo changamoto hizo!, veery low. watu tunatakiwa kuwaza kuanzisha ranch we unaona mtu kufungua pub ni changamoto, tunawaza kuanzisha maplantation na kufungua microhydrodam projects. huku mikoani unafungua plantation kwa gharama ndogo tu. dar imejaa wachuuzii na watumishi na kamwe hawawezi kuwa marole model wangu. kribu kila mkoa una dhahabu kasoro dar. hapo ntakuja kuspend na sio kutafuta sababu na dream big money.





a




i

Mkuu chukua tano zangu huko huko uliko.
 
Tatizo la dar people ni ujanjaujanja,maisha ya kuungaunga, utapeli.ila kuna soko kubwa(populeshen)
 
Naona karibia yote yamesemwa lakini nikumbushie tu kwamba "ugumu wa maisha ni kipimo cha akili" hapa kikubwa ni "EXPOSURE" popote pale penye makazi ya watu unaweza kabisa kutoka with happier and joyful life unlike that of cut-throat competing.. niko hapa Dar lakini kiukweli majority wanaishi in a very low standards of living compaired to Arusha.. mwisho niwewe tu kuwa creative na kujiamini baasi..
 
Mkuu chukua tano zangu huko huko uliko.
nikuambie kitu mkuu Malila?. nilikuwa naangalia documentary moja inaitwa mugabe and the white african. nikajiuliza mbona wale wazungu wa zimbabwe walikua wanaishi mashambani?. nikagundua walishaona pesa nyingi iko wapi. kale ka documentary kanakohusu mji wa kigamboni kanaanza na mzungu mmoja kusema kwamba ''tanzania is the land of milion opportunities''. we unafikiri ni opportunities gani kama sio ardhi, madini , mito yetu na misitu. watanzania tunatakiwa kujua kwamba kuajiriwa ni second choice baada ya kushindwa kujiajiri.
 
Back
Top Bottom