Siendi Mkoani Ng'ooo!! Dar es salaam is the future! Mikoani ni didimizo la uchumi binafsi

Sipo mbali sana na mtoa hoja lala 1 maana unapoongelea kuhusu busness uwezi kuacha kupataja dar unapoongerea kuhusu masoko makubwa na yenye bei nzuri ya uhakika kuhusu kupata big vision dar kujifunza n.k dar hapakwepeki ila unapozungumzia reproduction areas mikoani hapakwepeki maana uwezi kuchimba dhahabu kariakoo au kulima pamba na kahawa posta kwahio kwa mtazamo wng mimi nitakuwa na maono na kutafuta masoko dar ila katika kutimiza ndoto zangu mikoani hapakwepeki ila kama unataka kuendelea kuishi maisha ya imagnation kwa kujiona kama beyonce au kama jay z wakat upo kwa mtogole au jangwani sawa dar usitoke
 

tunahitaji vichwa kama hivi ili nchii ipige hatua ongera sana mkuu ubongo wako upo vizuri
 

umemaliza yote yani ni kama kula Ccm kulala ukawa
 
Ulichosema ni kwel hata me nina ushuuda mkubwa sana coz nimezaliwa hapa nimesoma hapa na kaz nafanya hapa yani hata kijijini huwa naenda mwezi wa 12 tena kwa matukio maalum. Dar,arusha ,kilimanjaro,mwanza, ndo kila kitu

utaendelea kuwa mchuuzi dar mpaka unakufa, rejea shahiri la darasa la 4 ukitaka mali yapatikana shambani mmejazana dar kufanya vitu ambavyo haviadd value ndomana shilingi yetu inashuka
 
1.Cpa hata mikoani zipo nying tu skuiz(what matters is experience n competece, unaeza kua cpa uko mjin serikalini unashindia kuingiza voucher kweny system wkt cpa mwenzako yuko un kigoma anapata int experience )
2 . kusoma masters cjui phd sio kigezo cha kukupa pesa

3 . inategemea na huyo alieko mkoani ana akili gani, b'se if he or she is a brighter person mikoan kuna opportunities nyingi sana kuliko town (walioko huko wanajua namaanisha nin )
4 . kama mjin kungekua dili sna all billionaires would be based in New York and not silicon valley or else where
 



Kumbe Dar si mkoa atiii?
 
ni mtizamo wako baki hivo hivo

Mkuu kuna watu wanasema mvaa kaniki akiona nguo ya rangu anachekelea sana.

Baada ye kwenda mikoani, kuona Arusha, Mwanza Mbeya na Kilimanjaro, nilisema i wish and will always wish to live there. Watu maadili mazuri hata kulea watoto unakuwa na amani, hapa Dar ni city uwanja wa fisi like. Isingekuwa economic opportunities, hakuna mtu aliyeenda shule angekaa hapa.
 
Ila tuache utani mjini kuna hela jameni,hebu angalieni na hii:

1. Maduka mengi ya kko haswa haya ya nguo ni kwamba mauzo yao kwa siku mahesabu ya chini kabisa ni 3m. Pia inajulikana kuwa fomula yao ni faida huwa haipungui 100%,sasa kwa mauzo hayo ya chini kabisa na ninaambiwa huwa wanakuwa na maduka zaidi ya 2 jipigie mwenyewe faida yake kwa mwezi;

2. Nimewahi kuwauliza wavuvi wa samaki ferry ni kwamba wanapoenda chimbo ambapo huwa hawachukui siku zaidi ya wiki,wakirudi pesa inayopatikana ya tajiri peke yake haipungui 10m na wao ni hivyo hivyo tajiri mmoja ana boti/mitumbwi zaidi ya minne. Hebu jipigie faida yake kwa mwezi; na

3. Kwenye sekta hiyo hiyo ya uvuvi pale ferry kuna watu wanauza zile barafu ambazo mahitaji yake ni makubwa sana kuliko uwezo,barafu za kilo 50 zinamuingizia supplier faida isiyopungua 3,000/- na ni kwamba mahitaji kwa siku ni wastani wa barafu 2,000. Suppliers walipopo ni wachache wenye uwezo mdogo,sasa kwa anayeweza sambaza barafu 1000 kwa siku hebu niambie pesa yake kwa mwezi.

Kama ni viwanda mtu aniambie ni mkoa gani wenye viwanda vingi kuliko dsm.

Kama ni uwekezaji mikoani ni dhahiri matajiri wengi wa dsm ndio wawekezaji na huko na sio matajiri wa mkoa wamewekeza dsm.

Mjini pesa mingi kuliko mkoa.PERIOD
 

Lara 1 ww ni noma sn una point nzr sn ila unaandika ndeeeeeeeeefu barabara ya morogoro imecngiziwa:-D
 

wewe kademu lara 1 una akili sana wewe na kwa hakika mimi pia siendi mikoani, lazima nibanane hapa-hapa MBEYA CITY

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Hatimae utabiri umeanza kutimia mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…