a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
1)UNYENYEKEVU
Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako.
Kuacha majivuno,kiburi na dharau.
2)KUTOHUKUMU WENGINE.
unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako vingine vinne vilivyobaki vinajikunja kurudi nyuma vikukunyooshea wewe mwenyewe.
3)KUSAMEHE
Tafuta kuwa na amani na watu wote .Hasa wale wanaotuudhi
.Usimbebe mtu moyoni mwako
.Moyo wenye kinyongo unatengeneza ugonjwa.Samehe na sahau.
4)KUEPUKA KUONGEA SANA
Kabla hujafungua kinywa chako kutamka maneno,Chuja maneno mana ukishayatamka hayarudi tena kinywani.Epuka mizaha(utani utani).Kama huna kitu cha kuongea cha muhimu na cha kujenga na kubariki wengine ni bora kunyamaza.