Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga.

Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO.
Sikiliza sana ulimi wao, sifa kubwa ya mwanamke mdangaji ni uongo na pretence.
 
Mambo yako tofauti na huko buza.

Wao sifa kubwa ni Tako.
Uwe na sura ya anko🤣🤣🤣
Njoo tu Kama una tako, tena sio tako tu... Liwe la kwenda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna mmoja humu jamvini natamani kumtag lkn ndio hvyo swezi..

We dada usinione sina akili na vipicha vyako vya location hivyo. We n mdangaji tu..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise
 
😂😂😂 Kuna mmoja humu jamvini natamani kumtag lkn ndio hvyo swezi..

We dada usinione sina akili na vipicha vyako vya location hivyo. We n mdangaji tu..
Kumbee...mzee taja ata kaherufi cha mwanzoni tuu ili tuunge doti
 
Back
Top Bottom