kwa ninavyofahamu mimi,2.7 ni upper second class kwa diploma,labda kama kuwe kuna tofauti baina ya diploma ya ualimu na diploma zingine.kama hakuna tofauti basi hiyo 2.8 unapata chuo kikuu bila tatizo,lakini pia hata hizo point zako za form 6 ungeweza pia kujiunga na baadhi ya coz kwenye baadhi ya vyuo bila hata kujiunga na diploma,hivyo bado una nafasi ya kuomba kwa kutumia matokeo yako ya f6 japo kwa mwaka huu umeshachelewa
3.5 ndio upper second mkuu kwa level ya Diploma na hata Degree pia. Na sio 2.7, hii ni grade linalo kupa sifa ya kujiunga na chuo kikuu na taasisi za elimu ya juu.