sifa kujiunga chuo kikuu

sifa kujiunga chuo kikuu

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
Habari! wapendwa!
naomba mnifahamishe nna dev 3 ya 16 form 6 mwaka 2010 nikaenda college diploma ualimu nimemaliza mwaka huu nna pass ya 2.8
tatizo wananambia sitaweza ingia chuo kikuu kupitia chet cha diploma kwavile alama ndogo had ningekuwa na kuanzia 3.0 so guys nipen mnachofaham kuhusu hilo jambo
 
kama form6 unaangalau E mbili na S moja kwenye comb bas we usihofu chuo halali yako,sifa za chuo kikuu zinaanzia hapo ila dip usijaribu kwa point hizo jaribu next year mwaka huu muda umepita
 
kwa ninavyofahamu mimi,2.7 ni upper second class kwa diploma,labda kama kuwe kuna tofauti baina ya diploma ya ualimu na diploma zingine.kama hakuna tofauti basi hiyo 2.8 unapata chuo kikuu bila tatizo,lakini pia hata hizo point zako za form 6 ungeweza pia kujiunga na baadhi ya coz kwenye baadhi ya vyuo bila hata kujiunga na diploma,hivyo bado una nafasi ya kuomba kwa kutumia matokeo yako ya f6 japo kwa mwaka huu umeshachelewa
 
3.5 ndio upper second mkuu kwa level ya Diploma na hata Degree pia. Na sio 2.7, hii ni grade linalo kupa sifa ya kujiunga na chuo kikuu na taasisi za elimu ya juu.

2.8 unaenda mzaz, ukitaka kuhakiki zaidi tembelea TCU GUIDEBOOK. ninavyofahamu mimi kw wenye dip. wanachukua kuanzia 2.7
 
uchof.tcu,wanataka uwe na Gpa icyopungua 2.7,diploma,au 2principal na s kuanzia moja,ila icwe gs.tembelea web ya tcu
 
Ahsanten nyote kwa maelezo naushauri mzuri nimewaelewa kwan mwaka juz nili omba nikapata tumaini ila kwa facult ambayo sikuwa tayari kuisoma thats why nikaenda diploma ili nijipange kwan hata hali yauchumi home isingeweza kulipa fees wakati huo nkaona si mbaya,sasa ndo waungwana wanasema hyo gpa sitaweza kuingilia chuo nkapata doubt kuhusu hilo!
 
3.5 ndio upper second mkuu kwa level ya Diploma na hata Degree pia. Na sio 2.7, hii ni grade linalo kupa sifa ya kujiunga na chuo kikuu na taasisi za elimu ya juu.

Poa mkuu,ila ina maanisha kwa diploma issue za class hawana?
 
Utaratibu ni kwamba,ukitaka kujiunga digrii kwa kutumia diploma kwanza uwe na D 4 za form four,pili uwe na GPA ya kuanzia 2.7.zaidi angalia guidebook ya NACTE new addition 2013/2014 sababu wewe lzma uombe kupitia uko.over
 
Kaka upper second ni 3.5 mpaka 3.9 labda ulposoma wewe data star ndo 2.7 upper second
 
Back
Top Bottom